R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Serikali imechukua hatua kufufua shirika mama TTCL ; Kushindana na Makapuni mengine ya simu
Chakushangaza katika market strategy ; uwa mtu anaingia sokoni kwa njia mbili
1. Cost
2. Unique of the product.
wenzetu katika cost wamepunguza bei kuuza vocha shillingi 100. TTCL wamegoma?
Unique product; TTCL hawana, ni product kama za makapuni mengine.
je tutabeat soko kweli?