R.B JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 6,296 Reaction score 2,575 Aug 21, 2017 #1 Serikali imechukua hatua kufufua shirika mama TTCL ; Kushindana na Makapuni mengine ya simu Chakushangaza katika market strategy ; uwa mtu anaingia sokoni kwa njia mbili 1. Cost 2. Unique of the product. wenzetu katika cost wamepunguza bei kuuza vocha shillingi 100. TTCL wamegoma? Unique product; TTCL hawana, ni product kama za makapuni mengine. je tutabeat soko kweli?
Serikali imechukua hatua kufufua shirika mama TTCL ; Kushindana na Makapuni mengine ya simu Chakushangaza katika market strategy ; uwa mtu anaingia sokoni kwa njia mbili 1. Cost 2. Unique of the product. wenzetu katika cost wamepunguza bei kuuza vocha shillingi 100. TTCL wamegoma? Unique product; TTCL hawana, ni product kama za makapuni mengine. je tutabeat soko kweli?