Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Namuona akielekea mjengoni. Ukimsikiliza baba yake youtube alipohojiwa kwa nininyeye hakualikwa kwenye birthday kuna maeneo alikuwa akirudia rudia kuwa mi vizuri kwa mwanae kuisaidia jamii inayomzunguka ili kujiwekea mazingira ya luweza timiza lengo lake. Ni mtazamo wangu kuwa atakuja gombea ubunge muda si mrefu jimbo ambalo Tandale ipo.Hapa tunapita tu ila msifu anayefanya vizuri kwa jamii maana kuna ndugu marafiki na wengine wanao nufaika na kutaka maisha yao ya kiuchumi na elimu yaboreshwe, asiyetaka wmenzie afanikiwe ni mchawi, aliye na wivu wa kufanikiwa kwa mwenzie ni mchawi, sasa ujumbe huu wa kuisaidia jamii na kukarabati majengo ya shule... tunaupokeaje na unatufundisha nini kuanzia kwetu, kwa Alikiba na wasanii wote hapa nchini.