Hatua anazopitia binti wa kisasa kutoka usichana hadi utu uzima

Jadda ungemtqja kwenye paragraph ya umri wa Kuanzia miaka 36 huko
Jadda kila mwaka anazidi kuwa lishangazi,usichana unaanza kumwambia bye bye kidogo kidogo. Kuna mwenzake alikuwaga mtata kama yeye humu JF saa hii simuoni hata kuchangia nyuzi. Tayari kashakutana na ukweli wa Maisha nyoko yule.
 
Jadda kila mwaka anazidi kuwa lishangazi,usichana unaanza kumwambia bye bye kidogo kidogo. Kuna mwenzake alikuwaga mtata kama yeye humu JF saa hii simuoni hata kuchangia nyuzi. Tayari kashakutana na ukweli wa Maisha nyoko yule.
Sikiliza wewe mimi natimiza miaka 28 mwaka huu na sijawahi kukutana kimwili na mwanaume yeyote kwenye maisha yangu na sina mpango huo kwa sasa, labda miaka ya mbeleni huko na hiyo ni kwa sababu siendeshwi na genye za kipumbavu kama wengine, na hata ikitokea nimefikisha miaka 60 bila ndoa wala watoto sitakuwa na la kujutia sababu sijachezewa na mpumbavu yeyote yule na hayo wala si kipaumbele changu, so ni kweli mimi ni lishangazi ila angalau nina uhakika wa kuzeeka na bikira yangu sababu sitaruhusu mjinga yeyote anivue nguo bila kunioa hiki ndio kitu nilijiwekea nadhiri toka nilipobalehe, yani it is either you "marry me" first or "fvck off" from my life maana sijawahi fall in love na mwanaume wote huwa nawachukulia kama ndugu na jamaa zangu tu, nilishakuambia mimi niko tofauti sana na wanawake wengine ambao wanaona aibu kukosoa maovu yenu, sababu wanaogopa mkiwaita majina kama hayo sijui feminist sijui single mother yatawauma sababu ni kweli yanawahusu, ila binafsi hayawezi kuniuma maana hayana ukweli kwangu so mimi hakuna kiumbe wala sababu ya kunizuia kusema kuhusu ujinga na umbumbumbu wenu, huko nyuma niliyasema na nitaendelea kuyasema hadi mwisho wa dahari kifupi mtazamo na msimamo wangu hautakuja kubadilishwa na chochote hadi siku naingia kaburini fullstop
 
K
Kama ni kweli ni bikra, bado ndoa itakushinda kwasababu ya ujeuri na ubishi, bikira wanaolewaga mapema kwasababu ni dili, sana ukiona hadi miaka 28 hujaolewa, pengine ni ujeuri wako ndo unakuponza.

Bado miaka miwili tu uitwe mshangazi, na mwanamke akifika miaka 30 hajaolewa, ujue ana matatizo tu, wenye sifa nzuri wanaolewa by the age of 25.
 
Tatizo mnalazimisha ndoa iwe kipaumbele kwa kila mwanamke bado mnaishi enzi za bibi zetu ambazo walidanganywa ndoa ni muhimu kwao, kwahiyo wakawa wanafanya juu chini wahakikishe wanaingia kwenye ndoa mapema kinachotokea kwenye dunia ya leo ni wanaume kuwalazimisha wanawake waingie kwenye ndoa, ilihali uhalisia tunauona mabinti wengi wa siku hizi hawataki tena kuingia kwenye ndoa mapema maana wanajua watakayoenda kukutana nayo huko ndio maana wanasubiri wawe mishangazi kwanza ndio waingie kwenye hizo ndoano

Hayo ya kuitwa mshangazi wala hayaniumizi kichwa maana kwanza sijawahi kufurahia kuitwa mtoto wala kuitwa gen z japo ni kweli mimi nadondokea kwenye gen z (1997-2012 kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali) ila mimi nilishaanza kujiona mtu mzima toka kitambo, halafu pengine wewe ni mgeni jf waulize wanaonifahamu nilianza kuchangia mada za aina hii toka najiunga jf 2019 nikiwa chuo na mitazamo yangu na misimamo yangu haijawahi kubadilika tofauti na wanawake wengine nilianza kuwa na akili za kiutu uzima toka niko kwenye my early 20s nilikuwa na mitazamo hii hii, walijitokeza wanasaikolojia uchwara na manabii feki kama wewe humu waliochukizwa na mitazamo yangu wakaniita majina mengi mabaya na kunitabiria eti nikifikisha miaka kuanzia 27 bila ndoa maisha yakishanipiga nikiwa single mother ndio akili itanikaa sawa na nitabadili misimamo

Hadi leo tunaongea nimeshafikisha hiyo miaka na maisha ndio kwanza yanazidi kuninyookea na sijabadili chochote hiyo ni kwa sababu nilishaset standard mapema sana ya kipi nataka na kipi sitaki kwenye maisha yangu wala sikuwa influenced na akili za kitoto na sikukurupuka, so kwangu mimi mume na watoto ni vitu vya ziada yani ni vile ambavyo whether nitapata au nitakosa havitaniumiza kichwa sababu siyo vipaumbele vyangu, hayo mambo ya kuwa na stress na depression kisa wanaume nimeachia wanawake desperate na wenye low self esteem and ofcourse mimi ni mjeuri kwa wanaume wapumbavu wasiojielewa na wenye mentality za kukandamiza wanawake hao hata mazoea nao huwa sitaki na wakini approach ndio kabisa naweza hata kuwajibu vibaya bila kujali status walizonazo na huwa sijifikirii mara mbilimbili
 
Ok tutakutana ukifika miaka 35, halafu mimi siyo nabii wala msaikolojia. Pia kama ni kweli ni bikra, nakupongeza, maana wengine wanaanza kufanya hawana hata miaka 18.
 
Ok tutakutana ukifika miaka 35, halafu mimi siyo nabii wala msaikolojia. Pia kama ni kweli ni bikra, nakupongeza, maana wengine wanaanza kufanya hawana hata miaka 18.
Sawa naendelea kuhesabu miaka uzuri mimi siwezi kupotea jf maana ni moja kati ya mitandao ninayoipenda labda itokee nimefariki au nimepata changamoto kubwa ya kiafya, ila tofauti na hivyo basi nitaendelea kuwepo hapa miaka yote huku nikiendelea kuwaprove wrong kwamba msikariri maisha na duniani hakuna kanuni ambayo ni universal, tatizo moja tunashindwa kuwalaumu hao mabinti peke yao sababu hata ninyi wanaume ni sehemu ya hilo tatizo huwezi kuyachafua mazingira halafu baadaye yakikupa hewa chafu uanze kuyalalamikia tena ilihali unajua kwamba wewe ndiye unayehitaji hewa safi hivyo ulitakiwa kuhakikisha hayo mazingira yanatunzwa
 
Mtoa mada umechokifanya ni kuweka chumvi kwenye kidonda. Yani umepiga mulemule.

Kuna kadada kalikuwa kananyodo balaa ila baada ya miaka kupita nilikutana nako kamefulia balaa mvuto wote kwisha.


Kengine kapo jirani yangu hapa mbwembwe nyingi kanapita kanatikisa tumatako twake kama kisoda.

Kanajiona maisha kameyapatia sasa mimi nakaangalia nasema hiiiiii!
 
Ujanja ni kuoa BIKIRA
 
Weww ni bikra? Ya wapi bro?
 
Wkt unasema haya ukute km za kutosha zinasoma kwenye dashbodi
 
Wkt unasema haya ukute km za kutosha zinasoma kwenye dashbodi
Kwanii km kusoma kwenye dashbodi ni kitu cha ajabu hadi niogope kujisema kama ingekuwa kweli, au unadhani kuwa bikira ni dili sana kwa dunia ya leo kiasi nione ufahari kujisema hivyo, tunajionea huku siku hizi hao wenye km nyingi ndio wanaoongoza kuolewa kuliko mabikira
 
Ww upo wp ss kati ya hao, mabikira au wenye km nyingi?
 
Najua wajua nakupendaga
 
Ok tutakutana ukifika miaka 35, halafu mimi siyo nabii wala msaikolojia. Pia kama ni kweli ni bikra, nakupongeza, maana wengine wanaanza kufanya hawana hata miaka 18.
Alaaa mbona umekuwa mpole ghafa? Unampongeza tena na mbona ghafla umetoka 25 hadi 35? Yaani ulitegemea ile comment yako itamnyong'onyeza hahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…