Hatua anazopitia binti wa kisasa kutoka usichana hadi utu uzima

Alaaa mbona umekuwa mpole ghafa? Unampongeza tena na mbona ghafla umetoka 25 hadi 35? Yaani ulitegemea ile comment yako itamnyong'onyeza hahaa
Hahaha hao ndio wanasaikolojia uchwara na manabii feki my dear mie kazi yangu kuwahesabia umri tu, haki miaka inaenda jamani siku hizi sina hata muda wa kubishana nao kama kipindi kile, yani nimekuwa mpole sana na hata hivyo wakongwe wengi mmepotea binafsi nimebaki kufuatilia siasa na mpira tu
 
Jamani umepotelea wapi we dada, nimekumiss long time no see, yani haunizidi Mimi vile nakukubali haki [emoji847][emoji847]
Nipo mdogo wangu ni vile sasa hivi nasoma zaidi kuliko kuandika
 
Sio mbaya mara moja moja kama hivi unatokea kuwaweka mahali pao, haki wanaume wengine wanadhani maisha ya wanawake wote yana-revolve around them
 
Huu ni ukweli ila ukisema wanakwambia uchungu wa kukataliwa unakusumbua ukipona utaacha, japo ulichoandika hapa tunakiona live kabisa humu mitaani.
 
Sio mbaya mara moja moja kama hivi unatokea kuwaweka mahali pao, haki wanaume wengine wanadhani maisha ya wanawake wote yana-revolve around them
Yani wanajisumbua tu my dear, acha waendelee kujifariji kwamba ipo siku eti wanawake watabadilika na kurudi kama bibi zetu, sisi tumekaa pale tunasubiri dunia ibadili mzunguko wake
 
Kama ni kweli ni bikra, amastahili pongezi, ukweli lazima usemwe
Alaaa mbona umekuwa mpole ghafa? Unampongeza tena na mbona ghafla umetoka 25 hadi 35? Yaani ulitegemea ile comment yako itamnyong'onyeza hahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…