Mkuu unaweza ongezea nyama kidogo hapa ikiwemo kutoa mwongozo wa namna yakufanya hiyo?Best wat ni ku-draft afidavit ku-prove kuwa majina ni yako.
Afidavit ni kiapo, so unaweza kwenda mahakamani au kwa mwanasheria yoyote (mimi niko mbali so usije kwangu [emoji1] kidding!) ataandaa hicho kiapo and ndani atatoa maelezo ya kuwa hayo majina matatu ni yako na ataweka viambatanisho kama cheti cha kuzaliwa au kitu chochote kitakacho tambuliwa kiserikali kama uthibitisho. mwisho utasaini kiapo hicho na mwanasheria pia atasaini. And ili kiweze kutumika basi utapaswa kukisajili ambapo utalipia pesa kidogo kwa "registrar of documents" ili uweze kukitumia sehemu yoyote ambapo cheti hicho kitaleta shida.Mkuu unaweza ongezea nyama kidogo hapa ikiwemo kutoa mwongozo wa namna yakufanya hiyo?
Nadhani ni kama 20,000 mpaka 30,000 kwa miaka kama miwili iliyopita.Afidavit ni kiapo, so unaweza kwenda mahakamani au kwa mwanasheria yoyote (mimi niko mbali so usije kwangu [emoji1] kidding!) ataandaa hicho kiapo and ndani atatoa maelezo ya kuwa hayo majina matatu ni yako na ataweka viambatanisho kama cheti cha kuzaliwa au kitu chochote kitakacho tambuliwa kiserikali kama uthibitisho. mwisho utasaini kiapo hicho na mwanasheria pia atasaini. And ili kiweze kutumika basi utapaswa kukisajili ambapo utalipia pesa kidogo kwa "registrar of documents" ili uweze kukitumia sehemu yoyote ambapo cheti hicho kitaleta shida.
Sure bro! huwa si ghali sanaNadhani ni kama 20,000 mpaka 30,000 kwa miaka kama miwili iliyopita.