Hatua gani za kufuata ili kuongeza mke(mke wa pili)?

Hatua gani za kufuata ili kuongeza mke(mke wa pili)?

Fund man

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2021
Posts
3,629
Reaction score
4,831
Habarini wana JF.

Naomba msaada je, ni hatua gani za kufuata ili kuongeza mke(kuoa mke wa pili)?

Hapa nazungumzia wale wasio waislam.

Karibuni.
 
Back
Top Bottom