Hatua gani zinapaswa kuchukuliwa dhidi ya ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa kwa kukataa kutekeleza amri ya Mahakama kuu?

Hatua gani zinapaswa kuchukuliwa dhidi ya ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa kwa kukataa kutekeleza amri ya Mahakama kuu?

Sir robby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,396
Reaction score
4,080
Wajuzi wa sheris naomba Msaada wenu wa kisheria.

Je, ni hatua gani zinapaswa Kuchukuliwa dhido ya ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa inapokataa kutekeleza hukumu ya Mahakama kuu iliyotolewa katika kesi ya ardhi?

Naomba Msaada wenu.
 
Hakuna jibu la moja kwa moja unatakiwa ufanye nini, maana hujasema amri iliyotolewa ipoje.

Lakini kwa ujumla, baada ya hukumu kutolewa na Mahakama, mtekelezaji asipotekeleza kwa hiari kile alichoamriwa, basi mwenye hukumu unatakiwa kukazia hukumu kama kilichoamriwa kinakazika. Utakaza hukumu kulazimisha utekelezaji.

Sasa kuhusu Manispaa, ukazaji hukumu ulikatazwa enzi za JPM, ambapo ili ukaze hukumu ilitakiwa upate cheti kutoka mahakama kuu kikionesha amri iliyopewa serikali na kwamba hawajatekeleza amri hiyo. Ila kwa kifupi ni kuwa kwa sasa ni ngumu kukaza hukumu dhidi ya serikali kwa kesi za humu ndani (local).
 
Kuna Mkandarasi alifanya kazi na Manispaa na Manispaa ikawa inagoma kumlipa akaends kufungua Kesi dhidi ya Manispaa Akashinda lakini bado Manispaa ikawa haitaki kumlipa Akaenda Kukaza hukumu Mahakama ikaagiza Magari ya Manispaa yakamatwe Na kipigwa Mnada kuona vile Manispas ilimlipa
Kwa hiyo Bado kukazia Hukumu kupo.
 
Back
Top Bottom