Hatua hii ni muhimu sana kwako kijana

Hatua hii ni muhimu sana kwako kijana

donata fredy

Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
45
Reaction score
84
Kujitambua ni hatua ya muhimu katika maisha ya mtu yoyote duniani na ni hatua ambayo hakuna mwanadamu anaeweza kufika hatima ya maisha yake kwa ubora na matarajio bila kuipita. Kujitambua ni matokeo ya kupata ufahamu sahihi juu eneo Fulani, ingawa pia inawezekana mtu akajitambua kwa kupata ufahamu usio sahihi utakaomfanya aishi maisha yanayolingana na ufahamu alioupata. Ufahamu unapatikana kwa kutafuta, kuchunguza na kudadisi taarifa mbalimbali lugha rahisi ufahamu ni gharama. Matokeo ya ufahamu ulionao yatafanana na ubora wa maisha unayoishi. Kila taarifa unayoipata ina kusudi au lengo lake, uwe unajua au hujui na ni muhimu kuzingatia kuwa kiwango cha matokeo ya kujitambua kitafanana na ubora wa taarifa ulizozipata. Udhihirisho wa maisha ya kujitambau ni hatua ya juu kabisa ya kuthibitisha kwamba kweli umejitambua
 
asante kwa andiko zuri, karibu sana JF
 
Point
 
Utakuwa unajitambua (kijana.)
 
Asante sana donata fredy. Upofu umewaingia watu wengi hasa sisi vijana kwa kuwa, wengi wetu tumekuwa tukiishi maisha ya kuiga.

Tunauacha utamaduni wetu na kubeba yooote hata kama yanatupoteza.

Watu mpaka wanakimbia majina yao. Kijana wa kichaga aitwaye MLAI anajiita Marley. Wakati Sumuni kijana wa Kifipa anataka aitwe 50 cent. Na mzaramo "Mashaka" anasema yeye ni meshack!!

Kijana wa kibongo, anaona fahari kula Apple huku akitembea mtaani, lakini ukimwambia ale pera, ugomvi wake hauamuliki.
 
Big up
Ni kweli dia ahsante kwa kuona hayo
 
Back
Top Bottom