It is not a one way traffic though, Kenya too is important for the economic well being of TZ.
Comrade.. Did i say one way traffic..??
Deep down my heart i hate Kenyans, hata aje kiumbe gani, i will still hate them.
Bulldog ...that's goes to extreme! not everyone please!!!!....my wife is a Kenyan! She is beautiful, lovely and goodhearted!Deep down my heart i hate Kenyans, hata aje kiumbe gani, i will still hate them.
Comrade.. Did i say one way traffic..??
Bulldog ...that's goes to extreme! not everyone please!!!!....my wife is a Kenyan! She is beautiful, lovely and goodhearted!
You don't need to be a certified psychologist to play with akili ya watanzania............wewe wasifie tu.............watasahau kila kitu
Haya mambo yoote yasingefika hapa kama PK na Rwanda yake wangekuwa nje ya huu muungano. mtu kama M7 leo hii kufanya mambo anayoyafanya kinyume cha TZ ni aibu kabisa. Uganda walikuwa ndugu na rafiki zetu tangu zama za vita ya kagera, eti anaongea kwa waandishi wa habari kwamba Northen corridor ni Nairobi - kampala - kigari - juba na central corridor ni dar- tabora - kigoma!!
M7 ni msanii mahili, yeye ndiye alimshikiza PK ajiunge na EAC, tangu Rwanda ijiunge na EAC ndio tumeanza kushudia vurugu zisizo na tija, kwa nini? Nyerere na Mzee Kenyatta walikuwa na tofauti zao, lakini walikuwa wana heshimiana - leo hii Viongozi walio zaliwa juzi juzi hapa wanawakosea heshima Viongozi walio wazidi UMRI, wanafikia hatua ya kuwatishia maisha viongozi wenzao! Nani anataka kushirikiana na viongozi wenye kiburi na jeuri wasio shahurika. Hapa M7 anajitia kuzungumzia Projects zinazo husu Northern na Central Corridors as if zipo kweli!! Nani kampa madaraka/mamlaka ya kuwasemea Viongozi wa EAC - Je, anataka kusema kwamba aliyo zungumza na waandishi wa habari yaliwahi kujadiriwa na Viongozi wote wa EAC Tanzania included - jibu ni hapana? Binafsi naona hotuba ya Mh.JK alimshika pabaya M7 baada ya JK kuanika kila kitu adhalani basi watu wenye akili zao wamejua watu wenye matatizo i.e wavurugaji wa EAC ni akina nani, M7 anajitia kujibaraguza hapa kutokana na kuona aibu kutokana na matendo yake kuhusu Taifa letu.Haya mambo yoote yasingefika hapa kama PK na Rwanda yake wangekuwa nje ya huu muungano. mtu kama M7 leo hii kufanya mambo anayoyafanya kinyume cha TZ ni aibu kabisa. Uganda walikuwa ndugu na rafiki zetu tangu zama za vita ya kagera, eti anaongea kwa waandishi wa habari kwamba Northen corridor ni Nairobi - kampala - kigari - juba na central corridor ni dar- tabora - kigoma!!
Ni kweli? wewe ni punguani wa mwisho ati project imeanza na LAPSSET imeishia wapi vile? hamna kitu mnafanya! hata Eldoret-Kampala pipeline imeongelewa tangu 2003 mpaka leo no single inch has been added! Meanwhile in Tanzania songas pipeline 225 km has been built and running while Mtwara to Dar 524 km is underwayHa haha ahaha wabongo na siasa za longolongo hii imekula kwenu,Kenyata very smart maana kukomba cargo ya watu million zaidi ya 50 lazima uwe na akili sana,kila tani itakayopitia Mombasa hiyo ni $$$ kwa Kenya,kuna akili kama hiyo?na Reli ikifika Kigali ujue Burundi na Eastern Congo yote itaelekea Mombasa,no chance Kenyata akaachia hii golden chance,watu wako kimya projects zimeshaanza wabongo wametumiwa mrembo then wanashangilia eti hii itaimarisha uhusiano EA,same shit happened with gold contracts,power projects etc cha ajabu vilaza wanaongelea talaka na eti wanatuonea gere huku opportunity za kuiingizia nchi billions hawazioni...this is what make EA sio maneno tuu bila sisi hakuna EA.
jana nlikuwa sehemu, kuna demu mmoja wa kenya akaja akawa anatoa maneno mabovu kuhusu tanzania na jakaya. aisee yule demu ataenda kuhadithia huko kwa wajaluo wenzake
wanafiki tu hawa serikali ikae nao chonjo wamekuja kuomba radhi halafu hapohapo wanaomba kuungwa mkono kwenye suala lao la kuhairishwa kesi ya ICC kwa mwaka! Kwa hiyo inamaanisha vituko vyoote walivyokuwa wanafanya kwa Tanzania sababu ni ICC! Wajinga kweli hawa..
Hata kuongea tuu ni kuanza,umesoma wapi wewe?Ni kweli? wewe ni punguani wa mwisho ati project imeanza na LAPSSET imeishia wapi vile?
Hiki ni Kiswahili nacho? Heri wewe uliyesoma! Back to the truth i have pasted the news many Kenyans don't like to hearHata kuongea tuu ni kuanza,umesoma wapi wewe?