Hatua hii ya Kenya itaiimarisha EAC

Wewe nitakuita msomi mjinga maana unayoleta hapa ni ya kweli lakini hayahusiana hata chembe na hii thread.
umeona alichoongelea Koba ati construction btn Kenya, Uganda and Rwanda! For how long we have heard of the same song while AfDB is about to release funds for Isaka-Kigali-Bujumbura to start 2014? U r being played with ur loud media full of bigotry and jingoism! I wonder where are Kenyans getting the audacity to talk down on Tanzanians probably from prejudice?
 
Mimi ni mshabiki wa Africa moja nikiungana na mawazo ya wale wenye nia njema ya muungano wa Africa ambao uliasisiwa na Waheshimiwa sana Julius Nyerere, Muamar Gadafi, na Kwame Nkrumah. Pia naamini EAC ni mwanzo wa muungano wa Africa. Ukweli ni kwamba wapo watu ambao wengine ni sisi waafrika hasa wasomi ambao hatutaki kusikia swala la muungano huu maana utakua pigo kuu kwa wanyonyaji. Tukumbuke aliyasema Ngugi kwenye kitabu chake cha "I will marry when I want". Mfano mzuri ni namna Waziri wa mambo ya nnje wa Kenya alivyojitetea kwa niaba ya serikali yake au kwa jinsi alivyotumwa na Rais Kenyatta. Ukweli ni kwamba ukimsikiliza kwa makini ukapima na anachokisema na anavyokisema utagundua anatafuta kuungwa mkono kesi iondolewe ICC tu na si kuimarisha EAC.

Bado nia ya dhati haipo na kila mmoja anataka maslahi binafsi. Jamani Uingereza iko kwenye muungano wa EU lakini vipi vitu ambavyo hawakubaliani navyo tena vingi tu ila hawawahitengwa au kujitenga eti tunazungumzia maswala ya ukanda fulani ambao haumuhusu huyu, kauli aliyoitoa Uhuru Kenyatta kwa waandishi wa habari alipokua akiongea na wakenya wanaoishi Rwanda kuwa tulikua tunazungumzia maswala ya ukanda wa kaskazini tutakapokutana kwaajili ya maswala ya kusini tutaishirikisha Tanzania. Alafu leo tunaambiwa tumeiuunga mkono hotuba ya Kikwete kisha tunaomba tuungwe mkono hoja ya kuondoa kesi ICC hahhaaaaaa. Nadhani viongozi wa Tanzania walimsoma huyu mama vyema.
 

In two months time you will have changed the tune
 
...I wonder where are Kenyans getting the audacity to talk down on Tanzanians probably from prejudice?
It's rather lack of self confidence. Bragging is a mask for insecurity; such goes the saying!
 
Kumbukumbu za waliovunja Community ipo;wanachofanya ni unafiki wa hali ya juu.Huyu mama alifuata mambo ICC tu hayo ya community alichomekea tu.
 
Deep down my heart i hate Kenyans, hata aje kiumbe gani, i will still hate them.

Mkuu hawa ni majirani zetu, hakuna sababu za kuwachukia, biblia inatufundisha " MPENDE JIRANI YAKO KAMA UNAVYOIPENDA NAFSI YAKO". tuishi kwa kuvumiliana.
 
Mkuu hawa ni majirani zetu, hakuna sababu za kuwachukia, biblia inatufundisha " MPENDE JIRANI YAKO KAMA UNAVYOIPENDA NAFSI YAKO". tuishi kwa kuvumiliana.

ukifuata bibilia kila saa utakuwa huitendei nafsi yako haki
 

kikwete is a corrupt man! he has just agreed that he pumps over 12 million dollars to a shadow politcal bloc/EAC
 

cha kustaajabisha ni uingereza ni wanachama wa ICC na wamekuwa wanachama kwa muda mrefu kabla ya tony blair akishirikiana na bush jr kufanya maovu nchini iraq. kwa nini ICC isiwafungulie mashtaka?? jibu ni taifa la uingereza haitakubali kumsalimisha blair kuenda ICC licha yao kuwa chini wa mkataba roma. uelewa, wauaji wa kimbari wa magharibi pia wanaweza kutunukiwa nobel price kwa kuleta 'amani na demokrasia' kwenye mataifa ya mashariki kama iraq. hata misri hawakubali dikteta wao hosni mubarak kuelekea ICC.
pili, TZ inajitahidi kuonyesha ulimwengu inataka kutatua mzozo wa kesi za ICC inayomkabili uhuru ilhali inatafuta kushughulikia masilahi yake.
tatu, kuna habari ya mazungumzo kati ya waliokuwa wanachama na tunayo official data ya mkataba wa EAC kuvunjika mwaka wa 77 tz ikisalia na headquarters na kenya ikisali na KQ, ila hatuna ushaidi kuwa mkataba huo umerejea kamili. kama mkataba huo umerejea, wanachama wanafanya makosa yale yale waliofanya mkataba wa kuanza kuvunjika. wanachama wameshindwa kufanya mambo tofauti na jilulize ni gharama na mzigo pia kwa tz kikwete kugharamia mchango wa mamillioni kwa muungano wa mazungumzo bila matokeo.
 
Pole sana na ushabiki wako wa africa moja ambayo kiuhalisia haipo!!
 
Mkuu hawa ni majirani zetu, hakuna sababu za kuwachukia, biblia inatufundisha " MPENDE JIRANI YAKO KAMA UNAVYOIPENDA NAFSI YAKO". tuishi kwa kuvumiliana.
Acha kuleta habari zako za fiction hapa!!kama jiran yako ni mbaya unamchana tu siyo kumvungia,hao wakenya unaowatetea kuwa ni majirani zako unauhakika vikao vyao na pk na m7 walivifanya bila kujua kama wanakiuka mkataba au unafiki tu,fikiri kabla ya kuweka hoja yako mbele ya watu waelewa sawa!!
 

Tupunguze jazma, huo ni mtazamo wangu na wewe huo ni mtazamo wako.
 

And what do you really know about the meeting yourself, were you among the participants?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…