Hatua ya awali CAF champions league & shirikisho draw kufanyika jumatatu

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Haya haya mambo ni mengi muda ni mchache caf champions league hatua ya awali itafanyika mapema mwezi huu.

Ikumbukwe kuwa Yanga sc ni miongoni mwa timu zitajazoanzia hatua ya awali, huku Azam, Geita gold nazo zikianzia hatua ya awali kwenye Kombe la shirikisho barani Africa.



 
Daah!wapumzisheni hawa kinyee fc..hata kidonda hakijapoa mnataka mpige kikiwa bdo kibich?
 
Round ya kwanza timu zote zinapita. Kimbembe round ya pili pale unapokutana na waarabu 🤣🤣🤣🤣
 
Vipers wanataka tena kuwakojoza AZIZA FC.

Tena ghetton Uganda, na nyumbani Bongoland.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Taarifa za kuwa simba inaanzia awali kasoro azam tusijaielewa imekaeje ni propaganda au ni ukweli.
Mwenye kujua.
 
Daah!wapumzisheni hawa kinyee fc..hata kidonda hakijapoa mnataka mpige kikiwa bdo kibich?
Hakuna majitu majinga kama mashabiki ya nyau! Yaani hilo nalo yanaona Yanga kapotezaaaa! Ujinga wa kiwango cha lami!
 
Hakuna majitu majinga kama mashabiki ya nyau! Yaani hilo nalo yanaona Yanga kapotezaaaa! Ujinga wa kiwango cha lami!
Kunywa maji mdogo angu..acha makasiriko.....ni kuilaibisha taifa tu kila game...ona mnafungwa sec 20
 
Point of correction. Draw ni kesho trh9
Simba na yanga zitaanzia hatua ya awali pamoja na geita but azam ataanza hatua ya pili. Kwanini imekuwa hivyo wataalamu watusaidie maana nimeona mpaka zamalek wametupwa huku mchangani
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…