Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 297
- 285
Nina usongo waruhusiwe watembee uchi na hata nao wanaugwaduMaamuzi ya baadhi ya wanawake wa CHADEMA kupitia BAWACHA mkoani Songwe kutishia au kutaka kutembea bila nguo kama njia ya kuonyesha hasira zao ni hatua mbaya na isiyofaa kwa chama cha siasa makini, na kwa Tanzania kwa ujumla. Hii ni aina ya hatua inayoashiria kukosa mwelekeo wa kisiasa na kushindwa kutumia njia zilizo za staha na zenye kuakisi maadili ya taifa katika kuwasilisha hoja au kudai haki.
Katika jamii ya Kitanzania inayojengwa juu ya misingi ya maadili, utu, heshima na mila za Kiafrika, hatua kama hiyo haiwezi kukubalika. Kutembea uchi si tu kwamba kunavunja maadili ya jamii, bali pia kunashusha hadhi ya mwanamke na kuharibu taswira ya chama chenyewe mbele ya jamii ya Watanzania. Hii ni lugha ya kejeli na ishara ya kukata tamaa kisiasa, badala ya kutumia majukwaa ya kidemokrasia kama mijadala, maandamano ya amani, mikutano ya hadhara na hata vyombo vya sheria.
View attachment 3301405
Kwa maamuzi haya, wananchi wengi sasa wanaanza kuona kwa uwazi kwamba CHADEMA imekosa mwelekeo. Vitendo vya namna hii havionyeshi dhamira ya dhati ya kuleta mabadiliko ya kweli, bali vinaashiria kutapatapa kisiasa na kukosa mikakati madhubuti ya kushughulikia changamoto. Wananchi wanatazama, wanahukumu, na wanatathmini mwenendo wa vyama vyote vya siasa—na kwa hatua kama hii, CHADEMA inaonekana kupoteza imani kwa sehemu kubwa ya jamii.
Ni muhimu kwa vyama vya siasa nchini kuwa na mipango thabiti, viongozi wenye maono, na mbinu za kistaarabu katika kudai au kutetea maslahi ya wananchi. Hatua kama hizi za kutaka kutembea bila nguo hazijengi siasa, hazijengi heshima ya mwanamke, na kwa hakika hazijengi taifa.
View attachment 3301406
Wewe hujitambui! Ulaya wakitaka haki haraka mbona wanatembea uchi bila shida yoyote!Maamuzi ya baadhi ya wanawake wa CHADEMA kupitia BAWACHA mkoani Songwe kutishia au kutaka kutembea bila nguo kama njia ya kuonyesha hasira zao ni hatua mbaya na isiyofaa kwa chama cha siasa makini, na kwa Tanzania kwa ujumla. Hii ni aina ya hatua inayoashiria kukosa mwelekeo wa kisiasa na kushindwa kutumia njia zilizo za staha na zenye kuakisi maadili ya taifa katika kuwasilisha hoja au kudai haki.
Katika jamii ya Kitanzania inayojengwa juu ya misingi ya maadili, utu, heshima na mila za Kiafrika, hatua kama hiyo haiwezi kukubalika. Kutembea uchi si tu kwamba kunavunja maadili ya jamii, bali pia kunashusha hadhi ya mwanamke na kuharibu taswira ya chama chenyewe mbele ya jamii ya Watanzania. Hii ni lugha ya kejeli na ishara ya kukata tamaa kisiasa, badala ya kutumia majukwaa ya kidemokrasia kama mijadala, maandamano ya amani, mikutano ya hadhara na hata vyombo vya sheria.
View attachment 3301405
Kwa maamuzi haya, wananchi wengi sasa wanaanza kuona kwa uwazi kwamba CHADEMA imekosa mwelekeo. Vitendo vya namna hii havionyeshi dhamira ya dhati ya kuleta mabadiliko ya kweli, bali vinaashiria kutapatapa kisiasa na kukosa mikakati madhubuti ya kushughulikia changamoto. Wananchi wanatazama, wanahukumu, na wanatathmini mwenendo wa vyama vyote vya siasa—na kwa hatua kama hii, CHADEMA inaonekana kupoteza imani kwa sehemu kubwa ya jamii.
Ni muhimu kwa vyama vya siasa nchini kuwa na mipango thabiti, viongozi wenye maono, na mbinu za kistaarabu katika kudai au kutetea maslahi ya wananchi. Hatua kama hizi za kutaka kutembea bila nguo hazijengi siasa, hazijengi heshima ya mwanamke, na kwa hakika hazijengi taifa.
View attachment 3301406
Naanzanae mimiRose Mayemba atakuwepo? Ngoja nitafute kamera yenye lenzi nzuri
Sasa itabidi asiwe na madoadoa kwenye mapaja au fangasiNaanzanae mimi
Wapi huko? Vipi na sie wenye vibamia tutaruhusiwa kuonyesha vibamia vyetu?😹😹😹 mzabzab umejipangaje?
Kuna maandamano ya kupinga uonevu na zile T3 zako unazozipenda zitakuwa live..!!
Songwe huko bawacha wanatembea chiu 😹Wapi huko? Vipi na sie wenye vibamia tutaruhusiwa kuonyesha vibamia vyetu?
songwe womens wants to unite and connect the nations sio?Maamuzi ya baadhi ya wanawake wa CHADEMA kupitia BAWACHA mkoani Songwe kutishia au kutaka kutembea bila nguo kama njia ya kuonyesha hasira zao ni hatua mbaya na isiyofaa kwa chama cha siasa makini, na kwa Tanzania kwa ujumla. Hii ni aina ya hatua inayoashiria kukosa mwelekeo wa kisiasa na kushindwa kutumia njia zilizo za staha na zenye kuakisi maadili ya taifa katika kuwasilisha hoja au kudai haki.
Katika jamii ya Kitanzania inayojengwa juu ya misingi ya maadili, utu, heshima na mila za Kiafrika, hatua kama hiyo haiwezi kukubalika. Kutembea uchi si tu kwamba kunavunja maadili ya jamii, bali pia kunashusha hadhi ya mwanamke na kuharibu taswira ya chama chenyewe mbele ya jamii ya Watanzania. Hii ni lugha ya kejeli na ishara ya kukata tamaa kisiasa, badala ya kutumia majukwaa ya kidemokrasia kama mijadala, maandamano ya amani, mikutano ya hadhara na hata vyombo vya sheria.
View attachment 3301405
Kwa maamuzi haya, wananchi wengi sasa wanaanza kuona kwa uwazi kwamba CHADEMA imekosa mwelekeo. Vitendo vya namna hii havionyeshi dhamira ya dhati ya kuleta mabadiliko ya kweli, bali vinaashiria kutapatapa kisiasa na kukosa mikakati madhubuti ya kushughulikia changamoto. Wananchi wanatazama, wanahukumu, na wanatathmini mwenendo wa vyama vyote vya siasa—na kwa hatua kama hii, CHADEMA inaonekana kupoteza imani kwa sehemu kubwa ya jamii.
Ni muhimu kwa vyama vya siasa nchini kuwa na mipango thabiti, viongozi wenye maono, na mbinu za kistaarabu katika kudai au kutetea maslahi ya wananchi. Hatua kama hizi za kutaka kutembea bila nguo hazijengi siasa, hazijengi heshima ya mwanamke, na kwa hakika hazijengi taifa.
View attachment 3301406
View attachment 3301513
Hehe kwahio na we upo ulaya....tembeeni uchi tu tusuuze machoWewe hujitambui! Ulaya wakitaka haki haraka mbona wanatembea uchi bila shida yoyote!
NgojA niendeSongwe huko bawacha wanatembea chiu 😹
Wewe na kibamia chako ruksa… 🤣
Sure. Great aproachInachekesha lakini pengine hii inaweza kuwa the most powerful weapon