mwanza_kwetu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 693
- 182
Hakika ni hatua njema na vema tujipongeze wananchi tulio wengi ambao tuliungana na vyama vya upinzani kuunga wazo la muundo wa serikali 3. Pia Tanganyika inarudi ili kuleta urari wa kiserikali kati ya muundo wa muungano. Pia kupunguza nguvu za rais krk uteuzi. Pia rasmu imeweka wazi ueledi kwa spika na na naibu pia kuwa na tume huru na ofisi ya msajili iliyo huru. Nafikiri kwsnundani kuhusu mafao mengine ya kijamii tutaendelea kusoma zaidi na kuhabarishana kwa ujumla ni ushindi wa haki. Hii inadhihirisha wapinzani kwa ujumla wao sasa wana 63% na hii haihitaji synovet walete kura zilizochakachuliwa hivyo waongeze bidii ya umoja huo maana sass dhahiri nchi hii kwa mageuzi inaweza. Hats hivyo ccm bado inaweza kusababisha vurugu bungeni na wanaweza kubadilisha vitu vingi sana maana kwa vyovyote vile bado hawajafurahia kabisa hatua hii na hata hivyo wakigeuza maelezo ya warioba tutaikataa katiba hiyo na kuweza kuwa kazi bure kabisa maana itapaswa kuanza upya. Shime wananchi, peoplessss power, Haki sawankwa wote na nccr tupige hstua sasa kuwaelimisha wananchi kuhusu hatua hii nanhatua itakayofuata maana kinyume ns mapendekezo ya warioba heri katiba isiwepo tena masns chuki binafsi za ccm haziwezi kuja kusababisha tusiende miaka 50 ijayo. Wazo hili lins waanzilishi wake na wana msinhi wake na kwa kuwa ccm wamecopy basi wafuate kama yalivyo matakwa ya wananchi