mchongameno
Member
- Feb 9, 2012
- 26
- 16
Wana jamvi Je Necta kufuta mitihani ya kidato cha nne kwa baadhi ya Wanafunzi na kuwafungia wasifanye mitihani kwa miaka minne ni halali? Je nini chanzo cha kuwafutia Mitihani? Je kama tatizo ni kuvuja kwa Mitihani kosa ni la nani? Nini kifanyike kuwasaidia hawa waliofutiwa mitihani? Je tuishauri vipi Serikali ili haya yasijirudie?

Tatizo liko kwao watendaji waserikali kwani huwezi kupata mtihani bila kumconsult mtu husika hivyo serikali na necta wajitazame upya na inapotokea udanganyifu katika mitihan inabid mtahiniwa atafutwe na kuhojiwa majibu au hiyo mitihan aliipata wapi,hii itasaidia kuwapata wanaovujisha mitihan
Anayekutwa na ngozi ndiye mwizi. Sasa hapo Serikali na NECTA wanahusikaje???
Kazi rahisi hapo ni kushughulika na hao masharobaro ambao hawataki kusoma. Kutwa ni Facebook.