Hatua ya Nusu Fainali Kombe la Shirikisho la Afrika

Kila la kheri. Huwa namuaamini sana coach nabi. Akimaliza dk 45 bila kufungwa tyu baasi fainali hiyo hapo
Tatizo ni kuwa, huwa wanapata nafasi elfu moja, wanatumia nusu nafasi.

Wakishindwa kutumia dk 15 za kwanza basi wadhamirie kumaliza game dk 45 za kwanza! Kinyume chake wakazanie suluhu
 
Tatizo ni kuwa, huwa wanapata nafasi elfu moja, wanatumia nusu nafasi.

Wakishindwa kutumia dk 15 za kwanza basi wadhamirie kumaliza game dk 45 za kwanza! Kinyume chake wakazanie suluhu
Sawa .lakini tulienda hivyo hivyo mpaka hapa tulipofika mkuu
Al hilali 1-1 dar kwao wakatupiga 1-0
Club Afrcains [0- 0] kwao tukawapiga kipind cha pili.
Monasteries fc [2-0] dar tukawapiga.
Mazembe kotekote
Wale Bamako walipogwa
 
pelekeni jukwaa sahihi tafadhali.
 
Kila la heri kwa Wananchi wote wa Tanzania. Leo jioni lazima kieleweke.
 
Sawa .lakini tulienda hivyo hivyo mpaka hapa tulipofika mkuu
Al hilali 1-1 dar kwao wakatupiga 1-0
Club Afrcains [0- 0] kwao tukawapiga kipind cha pili.
Monasteries fc [2-0] dar tukawapiga.
Mazembe kotekote
Wale Bamako walipogwa
Si umeona lakini kuwa game imeisha first half?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…