Uchaguzi 2020 Hatua ya Upinzani Tanzania

Huu nao ni uharo tu. Tunataka uchaguzi huru na wa haki. Chama kitakachodhinda kihalali kitangazwe. Sio chama kinabebwa na polisi, tume, tiss & co., halafu utuletee ngonjera za maendeleo mara ccm wameimarika. Kama wameimarika wasimsme wenye. magufuli amepiga kampeni miaka mitano mfululizo, bado tena anataka wapigakura hewa na vituo hewa. Leo kweli mtu mwenye kiburi hivo anapiga mahoti jukwaani kuomba kura?
 
Hii togwa wapelekwe Lumumba.
 
Mara zote huwa tunashindwa kujua Uhuru na Haki humaanisha nini hasa, kwenye taifa huru na linalojitegemea na lenye sheria zake kama taifa.
Huwezi kudai haki kama hujatimiza wajibu binafsi, huo tutaita UZANDIKI. Kusema hivyo haimaanishi kuwa nakubaliana au sikubaliani na mambo yote yanayoendelea ndani ya Taifa hili. Kama ungekuwa mtu makini nafikri ungejenga hoja nzuri zaidi kuliko hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…