Eloy Joel
Member
- Aug 30, 2023
- 7
- 11
Kwanza kabisa Unaanza kwa kulelewa Yani kutegemea wazazi au sehemu yoyote unapopata Malezi.
Then inafika time unaanza jitegemea but sio totally kwa kuwa hapa utakuwa ukisumbua sana watu kwa kuomba omba pesa za kujikimu.
Baada ya Hapo sasa utaanza jitegemea totally Yani unapunguza kuomba omba unakuwa unaweza kujikimu Wewe kama wewe Lakini unakuwa huwezi kufanya vitu vya ziada.
Finally unajikuta umetanuka kimaendeleo Yani Hapo unakuwa na uwezo wa kujikimu Wewe kama wewe pamoja na watu wengine kama vile familia, Pia hapa unakuwa na uwezo wa kusaidia wengine.
Hizi ni Hatua zinazotaka uvumilivu sana Mana huchukua muda.
Wengi wanakwama na kuona maisha ni magumu kwakuwa wanashindwa kuzichanganua hizi hatua. Maisha yanakuwa magumu Pale unapokuwa katika hatua ya awali Lakini unataka ufanye na vitu vya ziada ambapo ni ngumu sana.
Just pray Everything will be okay 🙏