Hatua za kuanzisha biashara

Hatua za kuanzisha biashara

MSDK pj

Member
Joined
Jul 17, 2021
Posts
10
Reaction score
29
๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ HATUA YA 2 YA BIASHARA
โœ๐Ÿฟ karibu msomaji baada ya kuangalia mbiniza kukufanya wewe uwe na wazo zuri la kibiashara naimani mpka sasa una uwezo wa kuwa na wazo zuri la kibiashara.
๐Ÿ”ฝ Hatua ya pili ni kitafuta ujuzi wa biashara uliyo ichagua, kujifunza ni muhimu sana kuliko hata mtaji, make hata ukipewataji Biashara itakuwa hasara tu kwani unafanya kitu ambacho hukijui.
โœ๐Ÿฟ Hata hivyo ukiona unasema huna mtaji basi elewa hata ukipewa mtaji hutoweza kuumudu kwani huna ujuzi wa biashara unayo taka kufanya.
๐Ÿง๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ Ukweli ni kwamba kama una ujuzi wa biashara unayo taka kufanya mtaji si kisingizio.
Mfno: kama wahitaji kuwa na duka la nguo, kama huna mtaji na unahitaji kuwa na duka la nguo kwa nini usianze kuuza nguo moja? Yaani unatoa 18000 una nunua nguo alafu una muuzia rafikia yako ukifanya hiv kama una malengo ya hakika utafika mbali kwan
Kwa kuanza nguo 1 itakufanya
1. Usome vzr changamoto za Biashara ya nguo.
2. Kutengeneza wateja wa kudumu hata ukifungua duka unafungua na wateja.
3. Utafahamiana na wauza nguo na tabia zao pia .
4. Nitakupa ujuzi na uzoefu.
โœ๐Ÿฟโœ๐Ÿฟ Usipo kuwa na nidhamu kwa vitu vidgo huwezi kuwa na nidhamu kwa vitu vikubwa.
Ukishindwa kuuza nguo 1 ndo utaweza kuuza nguo 100?
Sikia kama una wazo la kibiashara lianze sasa kwa kujifunza kwa vitendo hata kama una mtaji usiwekeze mtaji ila jifunze ,toa mtaji kidgo sana kama asilimia 10 alafu ianze hiyo Biashara kwa lengo la kujifunza au nenda kwa watu wanaofanya Biashara kama yako kujifunza.
๐Ÿ‘†๐Ÿฝ
Kufanya hivi kutakusaidia kupunguza baadhi ya changamoto kwan huwezi kutatua changamoto ya kitu usicho kijua.
๐Ÿง๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ huwezi kuuza sana kama huna ujuzi wa mauzo,huwezi kuikontro Biashara kama huna maarifa ya kukontro Biashara kajifunze.
๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™๐Ÿผ elimu bora ni kijifunza kutoka kwa wazoefu.
 
Back
Top Bottom