Hatua Za Kuanzisha na Kukuza Biashara ya Kununua na Kuuza Ardhi kwa Walio na Kipato Kidogo Hapa Tanzania

Aliko Musa

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2018
Posts
209
Reaction score
315
Biashara ya kununua na kuuza ardhi ni mojawapo ya njia bora za kuingia katika sekta ya uwekezaji wa mali isiyohamishika. Hata hivyo, kwa mtu mwenye kipato kidogo, changamoto ya mtaji inaweza kuonekana kuwa kubwa.

Hata hivyo, kwa kufuata hatua zilizopangwa vizuri, mtu anaweza kuanza kidogo na kukua taratibu. Hapa tunajadili ufafanuzi wa dhana, hatua za kuchukua, na mifano halisi kwa kila kipengele muhimu.

(1) Ufafanuzi wa Biashara ya Kununua na Kuuza Ardhi

Biashara ya kununua na kuuza ardhi inahusisha ununuzi wa ardhi kwa bei ya chini na kuiuza kwa bei ya juu ili kupata faida. Biashara hii inaweza kufanywa kwa viwanja vya makazi, biashara, au kilimo.

Faida hutokana na kuongezeka kwa thamani ya ardhi kutokana na ukuaji wa miji, maendeleo ya miundombinu, au hata maboresho madogo (kama kugawanya ardhi katika vipande vidogo vidogo) kwenye ardhi husika.

Katika maeneo kama Kibaha na Bagamoyo, thamani ya ardhi imekuwa ikiongezeka haraka kutokana na ujenzi wa miundombinu kama barabara mpya na reli ya SGR.

Mfano, mtu alinunua kiwanja kwa TZS 2,000,000 mwaka 2019 na kuuza kwa TZS 5,000,000 mwaka 2022 baada ya miundombinu kuboreshwa.

Ardhi ya Kilimo: Katika maeneo ya vijijini kama Mbinga Mji (Mbinga Town Council) watu wanapata ardhi ya bei nafuu, wanaiuza kwa wawekezaji wakubwa wa mashamba kwa faida kubwa.

Biashara hii inahusisha wateja wa aina tofauti: wawekezaji wakubwa, watu binafsi wanaotafuta viwanja vya makazi, au wakulima wanaotafuta ardhi ya kilimo. Unatakiwa kufokasi kwenye aina fulani ya wateja. Wanunuzi wa ardhi wa hali ya chini wapo wengi zaidi na hupendelea kulipia ardhi kwa awamu.

(2) Hatua za Kuchukua Katika Kuanzisha na Kukuza Biashara

(a) Hatua ya Kwanza

Kupata Maarifa ya Biashara Ya Viwanja.

Kabla ya kuanza biashara hii, ni muhimu kupata maarifa kuhusu soko la ardhi. Jifunze jinsi ya kutambua maeneo yanayokua, bei ya wastani ya ardhi, na sheria zinazohusiana na umiliki wa ardhi.

Hapa ninamaanisha maarifa ya jumla ya biashara ya viwanja na mashamba. Pia, ina maana unahitaji kufahamu kwa undani maarifa na taarifa za halmshauri unapotaka kuanzisha biashara yako ya kununua na kuuza ardhi.

Unaweza kujisomea vitabu mbalimbali vya ardhi na majengo. Unaweza kuhudhuria warsha mbalimbali zinazotolewa maeneo ya karibu na ulipo. Unaweza kulipia semina za mitandao kama ambavyo ninatoa mimi Aliko Musa kwa njia ya mtandao wa WhatsApp.

(b) Hatua ya Pili

Kutafuta Ardhi Nafuu

Tafuta maeneo ambapo ardhi inauzwa kwa bei nafuu lakini kuna uwezekano wa kuongezeka thamani kwa siku za usoni. Hii inaweza kuwa maeneo ya vijijini karibu na miji inayokua au ardhi inayouzwa kwa dharura.

Mwaka 2015, Jane alinunua shamba dogo kwa TZS 1,000,000 katika kijiji jirani na mji wa Dodoma. Miaka miwili baadaye, aliuza shamba hilo kwa TZS 3,000,000 baada ya kufunguliwa barabara mpya inayopita karibu na eneo hilo.

Mfano.

Angalia mitaa mipya ya halmshauri za manispaa, halmshauri za miji, na halmshauri za majiji. Pembezoni mwa makao makuu ya Halmshauri na miji midogo ya wilaya ni rahisi kupata wateja wanaomudu kununua viwanja kwa bei nafuu.

(c) Hatua ya Tatu

Kuwekeza Katika Maboresho Madogo

Ardhi inayofanyiwa maboresho kama kusafisha eneo, kuweka uzio, au kuweka mipaka inakuwa na thamani kubwa kwa wanunuzi. Maboresho haya yanaweza kufanywa kwa gharama ndogo lakini yakaleta faida kubwa.

Peter alitumia TZS 200,000 kuweka uzio wa mbao kwenye kiwanja alichonunua kwa TZS 1,500,000. Uzio huo uliongeza thamani ya kiwanja na akakiuza kwa TZS 2,800,000 baada ya miezi sita.

Hamisi alinunua ardhi ya ekari moja kwa milioni tano na nusu (5,500,000). Mr.Hamisi aliongeza barabara kila baada ya viwanja vitatu kwenye vipande vya viwanja vya ekari moja. Aliweza kutoa viwanja 6 ambavyo aliweza kuuza kila kiwanja kwa milioni tatu (3,000,000).

(d) Hatua ya Nne

Matangazo na Mauzo

Tumia njia za gharama nafuu kama mitandao ya kijamii (Facebook, WhatsApp), vikundi vya mikoa ya karibu au makundi ya facebook ya wilaya au matangazo ya mdomo kutangaza ardhi yako. Pia, tumia mawakala wa ardhi ambao watakulipwa baada ya kuuza.

Sarah alitumia vikundi vya WhatsApp vya watu wa mkoa wa Mbeya kutangaza viwanja vyake viwili. Ndani ya wiki mbili, alipata wanunuzi bila kutumia gharama yoyote ya matangazo.

(e) Hatua ya Tano

Rudisha Faida Kwenye Uwekezaji Mpya

Baada ya kuuza ardhi kwa faida, usitumie faida yote kwa matumizi binafsi. Badala yake, rudisha sehemu ya faida hiyo kwenye ununuzi wa ardhi nyingine ili kukuza biashara yako polepole.

Amina alinunua shamba dogo kwa TZS 3,000,000 na kuuza kwa TZS 5,000,000. Kutoka kwa faida ya TZS 2,000,000, alitumia TZS 1,000,000 kununua kiwanja kingine kidogo, hivyo kuongeza uwekezaji wake.

(3) Changamoto na Namna ya Kuzitatua

Kama mtu mwenye kipato kidogo, changamoto kuu ni ukosefu wa mtaji na maarifa ya kisheria. Hii inaweza kushughulikiwa kwa njia zifuatazo:

✓ Kutafuta ubia na watu wenye mitaji.

✓ Kununua ardhi kwa awamu badala ya kulipia mara moja.

✓ Kushauriana na wataalamu wa ardhi kuhusu nyaraka na sheria.

Joseph, ambaye hakuwa na mtaji wa kutosha, alishirikiana na rafiki yake mwenye TZS 5,000,000. Walinunua shamba kubwa, wakaligawa viwanja vidogo, na kuuza kwa faida. Gawio lao liliwasaidia kuongeza mtaji wa biashara zao.

Biashara ya kununua na kuuza ardhi ni fursa nzuri kwa watu wenye kipato kidogo, mradi wafuate hatua sahihi na kuwa na uvumilivu. Kwa kutambua maeneo yenye fursa, kuwekeza maboresho madogo, na kutumia faida kukuza uwekezaji, mtu anaweza kujenga biashara yenye mafanikio bila kuhitaji mtaji mkubwa.

Sababu Kuu 5 za Kuanzisha na Kukuza Biashara ya Kuuza Ardhi Hapa Tanzania

Biashara ya kuuza ardhi imekuwa mojawapo ya njia za haraka na zenye faida katika sekta ya uwekezaji Tanzania. Ukuaji wa miji, mahitaji ya makazi, na maendeleo ya miundombinu vinaendelea kuchochea thamani ya ardhi, hivyo kuifanya biashara hii kuwa ya kuvutia. Hapa chini kuna sababu tano kuu za kuanzisha na kukuza biashara ya kuuza ardhi nchini Tanzania.

(1) Ongezeko la Thamani ya Ardhi kwa Wakati

Ardhi ni rasilimali isiyoongezeka, lakini mahitaji yake yanaongezeka kadri watu na miji inavyoendelea kukua. Nchini Tanzania, maeneo ya miji kama Geita, Mbinga, Tunduma, Chunya, Kahama, Manispaa ya Morogoro, na Kasulu yameshuhudia ongezeko kubwa la thamani ya ardhi kutokana na ujenzi wa barabara, shule, hospitali, na maendeleo ya kijamii.

Katika wilaya ya Dodoma, maeneo kama Nala yalikuwa na thamani ndogo ya ardhi miaka mitano iliyopita. Baada ya serikali kuhamia Dodoma na miundombinu kuboreshwa, viwanja vilivyokuwa vinauzwa kwa TZS 1,000,000 sasa vinauzwa hadi TZS 5,000,000 kwa baadhi ya maeneo.

Uwekezaji wa ardhi huhitaji mtaji wa mara moja, lakini huleta faida kubwa baada ya muda. Hakuna gharama nyingi za uendeshaji kama ilivyo kwenye biashara zingine.

(2) Mahitaji Makubwa ya Makazi na Maendeleo ya Miji

Idadi ya watu inavyozidi kuongezeka nchini Tanzania, ndivyo mahitaji ya makazi yanavyoongezeka. Hii inatoa fursa kwa wafanyabiashara wa ardhi kuwahudumia watu binafsi na wawekezaji wanaotafuta ardhi kwa ajili ya kujenga nyumba za kuishi au biashara.

Katika mji wa Arusha, maeneo kama Usa River na Kisongo yamekuwa maarufu kwa sababu ya uhitaji mkubwa wa ardhi kwa watu wanaotafuta makazi nje ya katikati ya mji.

Biashara hii inatoa soko pana kwa watu wa kipato cha chini, cha kati, na cha juu. Wafanyabiashara wanaweza kutengeneza kipato kikubwa kutokana na kasi ya maendeleo.

(3) Maendeleo ya Miundombinu na Uwekezaji wa Serikali

Serikali ya Tanzania inawekeza kwa kiasi kikubwa katika miundombinu kama barabara, reli, viwanja vya ndege, na bandari. Maendeleo haya yameongeza thamani ya ardhi katika maeneo yaliyokuwa na thamani ndogo hapo awali.

Reli ya SGR imefanya maeneo kama Morogoro na Kibaha kuvutia wawekezaji wa ardhi. Barabara mpya za lami zinazojengwa vijijini zimeongeza thamani ya ardhi katika maeneo kama Mtwara na Lindi.

Wafanyabiashara wa ardhi wanaweza kununua maeneo kabla ya maendeleo na kuyauza kwa faida kubwa baada ya miundombinu kukamilika. Mambo haya yanaweza kufanyika kwa ufanisi mkubwa ikiwa utajenga timu ya watu mahalia (Local Real Estate Team).

(4) Urahisi wa Kuanza Biashara

Biashara ya kuuza ardhi inahitaji mtaji mdogo wa awali kulinganisha na biashara nyingine nyingi. Pia, unaweza kuanza bila kuwa na ardhi mwenyewe kwa kufanya kazi kama wakala au kwa kushirikiana na wamiliki wa ardhi.

Watu wengi wameanza biashara ya kuuza ardhi kwa kuwa mawakala wa watu binafsi au mashirika, wakichukua asilimia ya mauzo kama kamisheni.

Kijana mwenye TZS 2,000,000 anaweza kununua kiwanja cha vijijini, kukiboresha kidogo (kwa mfano, kuweka uzio), na kukiuza kwa faida. Pia, anaweza kukiuza baada ya kukigawa katika vipande vidogo vya ardhi kuliko alivyonunua.

Ni biashara inayohitaji maarifa zaidi kuliko mtaji mkubwa. Inaweza kufanywa kama kazi ya muda au kazi ya kudumu.

(5) Uthabiti wa Biashara na Faida ya Muda Mrefu

Ardhi ni rasilimali isiyopoteza thamani kwa haraka, hata wakati wa mabadiliko ya kiuchumi. Uwekezaji wa ardhi unatoa uthabiti wa kifedha kwa mtu binafsi au kampuni. Hata wakati uchumi unaposhuka, thamani ya ardhi ina uwezekano wa kubaki imara au kuongezeka.

Katika kipindi cha miaka 10 iliyopita, watu waliowekeza katika ardhi ya Kigamboni kabla ya Daraja la Kigamboni kujengwa walinufaika sana. Thamani ya ardhi iliongezeka zaidi ya mara tano baada ya daraja kukamilika.

Kwa kutumia timu maalumu, unaweza kumiliki ardhi inayoenda kuongezeka thamani muda baada ya muda bila kubahatisha.

Ni uwekezaji wa muda mrefu unaohakikisha usalama wa kifedha. Ardhi inaweza kutumika kama dhamana ya mikopo ya maendeleo ya biashara nyingine.

Hoja Ya Mwisho.

Kuanzisha na kukuza biashara ya kuuza ardhi Tanzania ni fursa kubwa inayotegemea mipango mizuri na maarifa ya soko.

Ongezeko la thamani ya ardhi, mahitaji ya makazi, maendeleo ya miundombinu, urahisi wa kuanza, na uthabiti wa biashara vinatoa sababu za msingi za kuwekeza katika sekta hii.

Kwa kufuata taratibu sahihi na kuwa mvumilivu, mtu anaweza kugeuza biashara ya ardhi kuwa chanzo kikuu cha kipato na maendeleo binafsi ya kifedha.

JIUNGE NA PROGRAMU YA FAIDA YA ARDHI.

Hii ni programu maalumu kwa wanaowekeza kwenye ardhi, yaani viwanja na mashamba. Programu hii inahusisha maarifa, taarifa na elimu ya kununua na kuuza viwanja na kukodisha mashamba.

Programu inahusisha aina mbili za uanachama. Aina hizo ni kama ifuatayo;-

✓ Wanachama wanaowekeza moja kwa moja.

✓ Wanachama ambao wamejiunga kwa mafunzo ya muda mfupi tu.

Sifa Za Mwanachama Kujiunga na Uanachama Wa Muda Mrefu.

Moja.

Uwe na mtaji fedha wa kununua na kuuza viwanja, au uwe na mashamba ya kukodisha. Kama una kiwanja au shamba ambalo tunaweza kushirikiana na mimi kutengeneza fedha kupitia shamba au kiwanja chako. Sio lazima uwe na mteja fedha ikiwa una ardhi tayari.

Mbili.

Uwe tayari kuchukua hatua.

Hapa unatakiwa kutoa ushahidi wa kile ambacho unatakiwa kufanya kuhusu biashara yako ya viwanja au mashamba ya kukodisha.

Ada Ya Uanachama Wa Mwaka 1.

Ada ya uanachama wa mwaka mmoja ni shilingi Elfu Hamsini (Tshs.50,000/= tu). Ada inalipwa kwa mara moja, hakuna utaratibu wa kulipia kwa awamu.

Kwa wanachama wa muda mfupi watatakiwa kulipia Tshs.20,000 ambayo itakuwa ni malipo ya SEMINA kwa kipindi husika. Wanachama wa muda mfupi, watapata OFA ya kuendelea kushiriki masomo ya kulipia kwa kipindi cha mwezi mmoja.

Rafiki yako,

Aliko Musa.

Calls/WhatsApp; 0752 413 711
 
Good advise
 
Wachangiaji bado wamelala
 
Back
Top Bottom