lugoda12
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 276
- 574
Hatua za kufa au kufariki
#SOS
- Kila kiumbe kitakufa.
- Mwanadamu naye atakufa.
- Kila kiumbe kina hatua yake ya mwisho na ndipo kinafikia kukufa.
- Hakuna dawa ya kutokufa.
- Ila zipo njia za kupunguza kufa mapema.
- Kupiga kelele sana kunakafanya uzeeke mapema na kufa mapema.
- Kushangilia sana kunakufanya uzeeke mapema na kufa mapema.
- Kutembea kwa haraka haraka sana kunaweza kufanya ufe mapema.
- Kuwa na mwili mdogo au mfupi kuna kufanya ufe mapema.
- Kutoenda kuangalia afya yako mara kwa mara kunakufanya ufe mapema
- Kulala vya kutosha kunakufanya uepuke kifo.
- Kutembea umeinamisha shingo kunakufanya uepuke kifo.
- Kucheka na kufurahia kwa kiasi kunakufanya uepuke kifo.
- Kuongea kwa taratibu kunakufanya uepuke kifo.
- Kula mboga mboga za asili kunachochea uishi mbali na kifo.
- Mazoezi ya mwili kiasi kunachochea uishi mbali na kifo.
- Kuzungukwa na watu bila kuingiliana nao kunakufanya uishi mbali na kifo.
- Rafiki wa kifo ni umaskini
- Rafiki wa kifo ni wanawake
- Rafiki wa kifo ni madawa ya hospital
- Rafiki wa kifo ni hofu na uwoga
- Rafiki wa kifo ni siasa na serikali yako.
#SOS