Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu naendelea kupokea ushauriInakubidi upate leseni na kukaguliwa na DMO na RMO mimi sina enough insights about that. Acha waje watu watoe ushauri. Lakini ingia kwenye thread moja humu jf kuna jamaa alikuwa ana mtaji wa milioni 35 anataka afungue biashara alicommentiwa kuhusu zahanati.
Mkuu ulifanikiwa kufungua zahanati au bado hujapata insights?Ndugu zangu wanajamvi naomba kusaidiwa hatua za kufungua Zahanati itakayokuwa chini ya kampuni na namna ya kuandaa memorandum ya zahanati husika.