Elisha Chuma
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 282
- 275
Watu tumezoea kudanganyana na kutokuelezana ukweli kuhusiana na biashara,
tumekuwa watu wa kupeana moyo na kushauriana kila mtu afanye iashara lakini
biashara au ujasiriamali sio kitu rahisi kiasi hicho ambacho kinaweza kufanywa
na kila mtu. Hivyo usijitumbukize tu katika bishara kwa kufuata mkumbo aidha
umeambiwa biashara fulani unaiweza, biashara fulani inalipa au wewe unaweza
kufanya biashara fulani na ikakulipa, kila kitu kinaugumu wake na changamoto zake,
changamoto za muuza maandazi ni tofauti na changamoto za muuza duka,hata ujuzi
wa msusi ni tofauti na wa kinyozi japo wote wapo saluni,hivyo unapoamua kufanya
biashara fulani usikurupuke fikiria na tathmini kwanza kwa undani kama inaendana
na wewe zifuatazo ni baadhi ya njia au mbinu muongozo za kufuata unapotaka kuanza
biashara yako.
kwa muendelezo bofya Elisha Chuma: Hatua za kufuata unapofikiria kuanza kufanya biashara yoyote