E EllySkyWilly JF-Expert Member Joined Aug 28, 2020 Posts 2,204 Reaction score 2,085 Oct 17, 2020 #1 Habari za Leo ndugu na marafiki. Leo nitaelezea hatua za kufuata wakati wa kufanya maombi ya full funded scholarship ya kusoma nje ya nchi. Basi ili walau kupata mwanga wapi pa kuanzia fuatana na mimi katika hii video fupi.
Habari za Leo ndugu na marafiki. Leo nitaelezea hatua za kufuata wakati wa kufanya maombi ya full funded scholarship ya kusoma nje ya nchi. Basi ili walau kupata mwanga wapi pa kuanzia fuatana na mimi katika hii video fupi.
Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 4,967 Reaction score 11,056 Oct 17, 2020 #3 Was kupuuzwa said: Acha uhuni, Click to expand... 🤣🤣 yaani ajipange upya, ameshindwa kusakaskrabu kabisa 😂😂
Was kupuuzwa said: Acha uhuni, Click to expand... 🤣🤣 yaani ajipange upya, ameshindwa kusakaskrabu kabisa 😂😂
Kingsmann JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 4,805 Reaction score 17,850 Oct 18, 2020 #4 Asante mkuu. Nashukuru haujaleta uhuni, wenye interest na scholarship za China mkaangalie huko. Unforgetable
Asante mkuu. Nashukuru haujaleta uhuni, wenye interest na scholarship za China mkaangalie huko. Unforgetable
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 30, 2021 #5 Ahsante kwa muongozo...
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Jun 1, 2021 #6 Njoo tu mkuu Mzaleee said: Mkuu naweza kuja inbox? Click to expand...
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Jun 1, 2021 #7 Wa kupuuzwa said: Acha uhuni, Click to expand... uhuni kivipi mkuu