Hatua za kuhama shule kwa 'A'level

Mtili wandu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
8,257
Reaction score
11,499
Habari wanajukwaa,, nauliza hatua za kuhama shule kwa 'A' level kutoka shule moja kwenda nyingine hatua gani? Huwa zinafuatwa,, naomba mwenye uelewa anijulishe
 
Habari wanajukwaa,, nauliza hatua za kuhama shule kwa 'A' level kutoka shule moja kwenda nyingine hatua gani? Huwa zinafuatwa,, naomba mwenye uelewa anijulishe

Kwa uwelewa wangu, nenda shule unayotaka kuhamia muulize mkuu huyo kama kuna nafasi. Nafasi ikiwepo utahamia
angalizo huwezi kuhamia kipaji kama tabora boys, mzumbe, kibaha au ilboru kama huna pass nzuri
KILA LAKHERI MKUU
 
asante mkuuu yeye alipata division 1 ya point 15 lkn akapangiwa huko iringa ss nataka ahamie minaki karib na nyumbani,, Asante sana kwa maelezo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…