Hatua za kuomba mkopo

ze seeker

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2015
Posts
328
Reaction score
89
Anayejua jinsi ya kuomba mkopo kupitia M-PESA anielekeze,maana reference number nikiingiza 1,inakataa.so nielekezeni pls
 
Kwaa jinsi minimepitiaa kulee heslb sjaona maombii ya mikopo nimeona guideline book tuu labda kwa wadau wengine nimeona ilaa wakitoa unafata procedures tuu zitakazo ainishwaa nahisi bado nduguu
 
Asante ndugu,maana wao wamesema maombi yameanza 4th may through 31 June,ngoja nisikilizie mpk jtatu
 
Anayejua jinsi ya kuomba mkopo kupitia M-PESA anielekeze,maana reference number nikiingiza 1,inakataa.so nielekezeni pls

Try this, andika namba yako ya form four na mwaka ulohitimu e.g S0101.0072.2009
 
1.by mpesa,2.choose business, 3.choose education, 4.heslb,5.enter 1 reference number(hapa sasa ndio matatizo kila nikijaribu kuingiza hiyo moja inakataa)
 
1.by mpesa,2.choose business, 3.choose education, 4.heslb,5.enter 1 reference number(hapa sasa ndio matatizo kila nikijaribu kuingiza hiyo moja inakataa)

Hapo weka namba yako wa mtihani wa form four mfano. S1226.0050.2011
 
1.by mpesa,2.choose business, 3.choose education, 4.heslb,5.enter 1 reference number(hapa sasa ndio matatizo kila nikijaribu kuingiza hiyo moja inakataa)

Hapo kwenye ref number jaribu weka number ya form four na mwaka ulofanya mtihani kwa format km niloweka post ilopita
 
Nimejaribu ila bado inaandika,utility error
 
mimi nimekosea kdogo kujaza loan form, kuna sehemu ya kujaza namba ya kitambulisho cha kuzaliwa, nikakosea kwa kuandka namba a cheti cha secondary education , najarbu ku edit inagoma kabsa ...... naomben kujua nifanyeje apo kwakel nisije nikakaa tena mwaka nyumbani kama mwakajana sikupata mkopo nikashndwa kwenda chuo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…