Hatua za kupata mchumba jf ni zipi?

Hatua za kupata mchumba jf ni zipi?

Nyamuleha jr

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
185
Reaction score
65
Mimi ni mwanaume miaka 25
Wadau naombeni mnisaidie hili nitapataje mchumba hapa jf kwasababu watu hapa hutumia fake id fake avatar na majina mengine hapa pia huchanganya kama ni meni au demu kama aspirini, mzizi mkavu
 
Tuletee CV yako ya mahusiano in A4 size,weka na four recent passport!
 
^^
Hatua ya kwanza ni Kumwomba Mungu..ya pili nenda love connect weka tangazo..ya tatu log out siku tatu bila kuingia ukafunge..ya nne rudi uangalie PM muanze safari ya bahati nasibu
^^
 
nenda kanisani na msikitini utapata wa kuowa sio kuchafuana tu
 
miaka 25 haitoshi kukuelezea,

je unafanya kazi? unaishi wp?

je pesa ipo au ya mawazo?

je kwenye swala la kutoa we ni mwepesi hasa upande wa pesa? si lazima ujibu yote
 
Mimi ni mwanaume miaka 25
Wadau naombeni mnisaidie hili nitapataje mchumba hapa jf kwasababu watu hapa hutumia fake id fake avatar na majina mengine hapa pia huchanganya kama ni meni au demu kama aspirini, mzizi mkavu
Ha ha ha wewe kuna wenzako walipigwa kabang shauri zako.....
 
Back
Top Bottom