Nyamuleha jr
Senior Member
- Feb 20, 2013
- 185
- 65
Tuletee CV yako ya mahusiano in A4 size,weka na four recent passport!
Ha ha ha wewe kuna wenzako walipigwa kabang shauri zako.....Mimi ni mwanaume miaka 25
Wadau naombeni mnisaidie hili nitapataje mchumba hapa jf kwasababu watu hapa hutumia fake id fake avatar na majina mengine hapa pia huchanganya kama ni meni au demu kama aspirini, mzizi mkavu
Ha ha ha wewe kuna wenzako walipigwa kabang shauri zako.....