Hata uwe na nyumba 100 kama huna biashara huwezi kupata mkopo bank
kama una kitu chochote kinachokuingizia kipato kwa muda flani(regular cash flow) unaweza pata mkopo kwa urahisi sana!
Naungana na Kanga moja hapo juu kwamba hata uwe na nyumba lukuki bila biashara huwezi kupata mkopo.Hata uwe na nyumba 100 kama huna biashara huwezi kupata mkopo bank
Hata uwe na nyumba 100 kama huna biashara huwezi kupata mkopo bank
Sasa mkuu tuseme una hako kabiashara watakayo. Enhee... hatua za kufuata ni zipi sasa.
Hata uwe na nyumba 100 kama huna biashara huwezi kupata mkopo bank
Ukishakuwa na biashara yenye muda usiopungua miezi sita uwe na leseni ya biashara pamoja na TIN.
Cash flow ya biashara yako hapo lazima uwe na bank statement kuonyesha mapato unayoingiza, Then ndio iinakuja dhamana ya mkopo hiyo nyumba yako itathaminishwa na mkopo utakaochukua usizidi 80% ya thamani ya dhamana yako. Na kiwango cha mkopo kitatolewa kulingana na income unayoingiza kutoka kwenye biashara yako.
Kwa kuongeza tu, pia ni lazima uwe na mchanganuo wa biashara kuonyesha hizo fedha utazifanyia nini na hela zitarudije. Lazima afisa mikopo ashawishike kuwa mchanganuo wako unaweza kulipa ndo aruhusu uchukue mkopo.
Hapo kwenye hiyo pointi yako nasikia ndo mahali hao maafisa mikopo huwa wanajipigia vijisenti na wao!! Ukitaka kula inabidi na wewe ukubali kuliwa!!