Hatua za kuunda kampuni hizi hapa, miliki kampuni sasa

Ofisi gani ya mwanasheria anaweza nigongea mihuri hapa mnazi mmoja ?
 
Sasa hata umeshindwa kusema huo ni utaratibu wa wazawa au wageni? Je, wageni wakitaka kufungua kampuni watumie njia zipi na utaratibu gani? Msitoe elimu nusu nusu na za kawaida kabisaa mkajua mmetoa maarifa makubwa.
 
Je kama nataka nifungue kampuni yangu na mwanangu..ila mwanangu baddo hajafikisha 18+ nifanyeje katika hilo.?
Mkuu IJUE SHERIA tafadhari naomba jibu la hili swali la bwana jiwe angavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…