Sijui kwa nini hapo Mzizimkavu ameandika kuhusu uro therapy. Hiyo haiwezi kuwa kweli kwa sababu Commander Hatonn hajawahi kuandika kuhusu urotherapy.
Katika posting nyingine Mzizimkavu anamtaja Dr. Leonard Horowitz na jinsi chanzo cha AIDS kilivyogundulika. Kwa hakika,Dr. Horowitz ndiye aliyeigundua hii njama.
Anasema. this is how he found out;
Anasema alikuwa anafanya research kuhusu chanzo cha AIDS.Anasema yeye alikuwa very well-trained kuhusu jinsi ya kuingia katika maktaba na kupata habari.
Siku moja akaenda kwenye maktaba fulani,akamwambia mhudumu,kwamba yeye anafanya research kuhusu chanzo cha AIDS na anaomba kupewa kitabu hiki na kile, document hii na ile.
Yule mhudumu akamwambia," nifuate"
Yule mhudumu akaongoza njia na yeye akafuata.
Halafu wakati anamfuata akasikia sauti akilini kwake inamuambia "simama. Hapa, nenda Julia. Nenda kule mbele. Halafu tazama upande wa kushoto kwenye shelf"
Akafuata hayo maelekezo akapata habari alizokuwa anazitafuta;
Yule mhudumu akawa anamuita,"uko wapi? Vitabu unavyovitafuta viko huku"
AIDS is spread by tears, blood and saliva.
Kwa hiyo Dr. Horowitz akaona document jinsi U S Department of Defence ilivyoagiza itengenezwe AIDS virus "ili kumdhoofisha adui"
Kwa hiyo wakapata $10,000,000 ten million from Congress kuanza research.
Wakaitengeneza hiyo virus, a cross betwern the bovine(cow) leukemia virus and the sheep visna virus.
First ikawa injected into the gay community in New York katika Hepatitis B vaccine na pia katika gay community in San Fransisco. Halafu ikawa injected Africa south of the sahara in 1975 in WHO(World HealthOrganization) virus in small pox vaccination.
Halafu walikuwepo Brazilians wengi wanafanya kazi Afrika wakati ule. Waliporudi nyumbani Brazil waksipekeka AIDS. And that is hoe AIFS hit the world.Can you xxxx believe it? AIDS T anzania na South Africa imeletwa na WHO?
AIDS ikapelekwa Haiti na United Nations na CIA Director alikuwepo Dominican Republic,ambayo inapakana na Haiti kudimamia upandikiza wa AIDS Haiti.
Yule CIA Director James Casey nadhani.
Lakini tujadili cure, kwa sababu ndilo ulilouliza. Mzizimkavu hapo nimeona kama vile ameandika kwamba ameshaipata tiba. Bado sijasoma ameandika nini
Siku moja Prof. Sarungi alikuwa ananiambia ile gadget aliyokuwa anaifanyia kazi Lobsang Rampa siku hizi imeanza kuingia.
Akaniuliza Lobsang Rampa alikuwa amesema nini vile kususu ile gadget?
Nikamwambia "Oh,Lobsang Rampa alisema mwili wa binadamu unazungukwa na aura yenye rangi nyingi.
Tabia ya mtu inaonekana katika aura. Kwa mfano mtu akiwa mwalinu au muuguzi mwili wake unazungukwa na rangi ya kijani.
Surgeon au butcher au mwanajeshi ana aura nyekundu.
Mtu mtakatifu ana aura ya manjano au kama mtakatifu sana aura ya dhahabu.
Aura ranges from red to violet.
At the red end you have individuality,on the violet end you have group personality.
Ndio maana St. Germain ambaye inasemekana alikuwa mastermind wa French Revolution of 1789 ni master of the violet ray.
Indigo in the aura inaonyesha spirituality.
Greenish yellow ni ishara kwamba mtu ni mnafiki.
Hiyo ni kuhusu tabia. Lakini rangi za aura pia zinaonyesha afya ya mtu.
Zinaonyesha dalili za ugonjwa long before it can be diagnosed by conventional methods.
Lobsang Rampa alisema hizi rangi zikirekebishwa kwa kupitisha electric current katika mwili inawezekana kutibu ugonjwa. '"
Niliposema hivyo Prof. Sarungi akasema"Yes,yes. That device. Madaktari wanaanza kukitumia siku hizi"
Haya mambo tuliongea naye zamani, wakati alipokuwa Waziri wa Afya. Nilipaswa kumuuliza kama vifaa hivyo ana mpango wa kuvileta Muhimbili.
The reason why I am saying all this in kwamba wanapozungimzia cure for AIDS-the real cure for AIDS- wanaongea in that kind of language-light spectrums and electric currents na experiments alizokuwa anafanya Dr. Royal Rife.
Watu wanaofanya research ya kweli wananyimwa funding au wanatishiwa maisha.
Hakuna chanjo kwa sababu AIDS virus ni retrovirus, it adapts itself to the cell.
Kufanya research, you have to take matters into your own hands siyo kuwategemea ambao wenyewe ndio wameleta AIDS kupunguza idadi ya watu.
As it is now, wanataka idadi ipunguke mpaka namba wanayoipenda ndio waitoe dawa yaani walete anti dote.
Yesu anasema acha mambo ya laana unayofanya, Mimi nitakutibu AIDS.
Halafu inasemekana it is possible rate ya maambukizi inafichwa so that the people may not panic. Zipo hizi sinema zinapita huko vijijini zinawaambia watu wasiogope ulimwi,wasimnyanyapae mgonjwa wa ukimwi. Good God. Ukikaa kwenye dala dala baada ya muathirika unaweza kuugua.
The problem is a psychological one. Ni kwamba. for some unknown reason, mtu mwenye ukimwi, au magonjwa mengine, too often anataka kuwaambukiza wengine.
Inahitajika ideological struggle against this type of behaviour.
Nikola Tesla,aliyegundua alternating current tunayotumia sasa, alikuwa anawashangaza watu New York waalikwa kwenye maabara yake alipokuwa anafanya demonstrations za umeme. Alikuwa anapitisha current mwilini mwake,anaishikilia glopu, na ile glopu inawaka. Ni kwa kutumia principle ya namna ndio inaweza kupatikana tiba ya ukimwi.
Ni kwamba you will have a sick body and you will radiate different colours into it, depending on the disease you want to cure.
It is all physics. Haya mambo ya light na light spectrums ni physics.