Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Asante mkuu. Huu ujenzi wa kilalahoi, ni hatari sanaJamv/floor rough,wiring,plasta,blundering,gypsum,tailiz,milango,vifaa vya umeme....mwisho kabisa rangi...kila la kher na hongera
Asante mkuu. Huu ujenzi wa kilalahoi, ni hatari sana
Wiring...
Umekwenda vizuri mkuu ila natumia nondo zako kujazia, hapo kwenye wiring iende sambamba na mfumo wa maji ili lipu ikipigwa sio aje abomoe tena na kupitisha bomba kuingia ndani kama zile za maji, pia kufanya fitting za choo (kiana) hasa kama kile cha kuchuchumaa na kutoa zile bomba zake nje), vingine vipo okay though shitch inapendeza kama akaziweka mwishoni kabisa baada ya kupiga rangi huwa zinakaa vyema hasa hizi za kisasa zinazokuwa na cap ya kufunika screw ikiwezekana na shata za milango akzinunua lakini akafanya fitting mwishoni kabisa ili wa rangi atambae vizuriJamv/floor rough,wiring,plasta,blundering,gypsum,tailiz,milango,vifaa vya umeme....mwisho kabisa rangi...kila la kher na hongera
We jamaa ni mtaalam hasa...shukrani..Umekwenda vizuri mkuu ila natumia nondo zako kujazia, hapo kwenye wiring iende sambamba na mfumo wa maji ili lipu ikipigwa sio aje abomoe tena na kupitisha bomba kuingia ndani kama zile za maji, pia kufanya fitting za choo (kiana) hasa kama kile cha kuchuchumaa na kutoa zile bomba zake nje), vingine vipo okay though shitch inapendeza kama akaziweka mwishoni kabisa baada ya kupiga rangi huwa zinakaa vyema hasa hizi za kisasa zinazokuwa na cap ya kufunika screw ikiwezekana na shata za milango akzinunua lakini akafanya fitting mwishoni kabisa ili wa rangi atambae vizuri
Plaster iwe ya kawaida isiwe ile ya nilu (ukuta unateleza mpaka mjuzi anashindwa kupanda) maana rangi za siku hizi wenyewe wanafanya skimming kwa gypsum powder kisha ndio inapigwa rangi (ukuta ukipigwa lipu ya kawaida ile gypsum powder inakuwa inakaa vizuri ukutani vivyo hivyo nje napo rangi inafyonzwa vizuri kwa kuwa unapiga wheather guard au ile ya mchanga ile ya spain hivyo rabsha rabsha ya unyevunyevu unakuwa haufui dafu, hongera kwa hatua uliyofikia maana watanzania wengi tunaishi kwenye nyumba za Mbavu za Mbwa
Si mtaalamu ila nina practical experience maana na mie nipo hatua mbele kidogo ya huyo jamaa yaani rangi ndani tayari ndio nikaweka switch ila shata za milango bado najikongoja na kwa jinsi nilivyoona zimekaa safi nikaona nimpe madini based on uzoefuWe jamaa ni mtaalam hasa...shukrani..
Asante sana mkuu kwa ushauri wakoUmekwenda vizuri mkuu ila natumia nondo zako kujazia, hapo kwenye wiring iende sambamba na mfumo wa maji ili lipu ikipigwa sio aje abomoe tena na kupitisha bomba kuingia ndani kama zile za maji, pia kufanya fitting za choo (kiana) hasa kama kile cha kuchuchumaa na kutoa zile bomba zake nje), vingine vipo okay though shitch inapendeza kama akaziweka mwishoni kabisa baada ya kupiga rangi huwa zinakaa vyema hasa hizi za kisasa zinazokuwa na cap ya kufunika screw ikiwezekana na shata za milango akzinunua lakini akafanya fitting mwishoni kabisa ili wa rangi atambae vizuri
Plaster iwe ya kawaida isiwe ile ya nilu (ukuta unateleza mpaka mjuzi anashindwa kupanda) maana rangi za siku hizi wenyewe wanafanya skimming kwa gypsum powder kisha ndio inapigwa rangi (ukuta ukipigwa lipu ya kawaida ile gypsum powder inakuwa inakaa vizuri ukutani vivyo hivyo nje napo rangi inafyonzwa vizuri kwa kuwa unapiga wheather guard au ile ya mchanga ile ya spain hivyo rabsha rabsha ya unyevunyevu unakuwa haufui dafu, hongera kwa hatua uliyofikia maana watanzania wengi tunaishi kwenye nyumba za Mbavu za Mbwa
Ulichokisema ni sahihi kabisa na kweliSi mtaalamu ila nina practical experience maana na mie nipo hatua mbele kidogo ya huyo jamaa yaani rangi ndani tayari ndio nikaweka switch ila shata za milango bado najikongoja na kwa jinsi nilivyoona zimekaa safi nikaona nimpe madini based on uzoefu
Kwa ujenzi wetu wa kimasikini inatakiwa uwe makini kweli ili ukitoa kitu kitoke safi ndio maana hutakiwi kuruka step na hata kama unahamia finishing unaifanya huku upo ndani vivyo hivyo hakikisha usikurupuke maana ni heri ufanye finishing ya ukweli chumba kimoja kimoja kwa miaka mitatu nyumba ikakamilika na kuwa bomba kuliko kufanya finishing ili mradi, ukiwa huna hela alafu unakaa nyumba inavutia kuna raha yake na ndio maana kwa sie wazee wa kudunduliza inabidi twende kwa step na kufanya consultation kwa waliotutangulia
Jamv/floor rough,wiring,plasta,blundering,gypsum,tailiz,milango,vifaa vya umeme....mwisho kabisa rangi...kila la kher na hongera