EngineerLMG
Senior Member
- Nov 28, 2013
- 125
- 75
Kwa sasa, benki kuu za nchi zote isipokuwa BR na SS zimekubali kufungua akaunti ambazo zitawawezesha nchi zetu kufanya biashara kupitia fedha za hapa.
Sasa, wakenya wenzangu, hatuhitaji kubadilisha shilingi yetu hadi USD ili kununua mahindi ya TZ! 🙂
EAC traders to use local currencies within region
Sasa, wakenya wenzangu, hatuhitaji kubadilisha shilingi yetu hadi USD ili kununua mahindi ya TZ! 🙂
EAC traders to use local currencies within region