EngineerLMG Senior Member Joined Nov 28, 2013 Posts 125 Reaction score 75 Aug 7, 2016 #1 Kwa sasa, benki kuu za nchi zote isipokuwa BR na SS zimekubali kufungua akaunti ambazo zitawawezesha nchi zetu kufanya biashara kupitia fedha za hapa. Sasa, wakenya wenzangu, hatuhitaji kubadilisha shilingi yetu hadi USD ili kununua mahindi ya TZ! 🙂 EAC traders to use local currencies within region
Kwa sasa, benki kuu za nchi zote isipokuwa BR na SS zimekubali kufungua akaunti ambazo zitawawezesha nchi zetu kufanya biashara kupitia fedha za hapa. Sasa, wakenya wenzangu, hatuhitaji kubadilisha shilingi yetu hadi USD ili kununua mahindi ya TZ! 🙂 EAC traders to use local currencies within region