SoC02 Hatua zinazochukuliwa kwa madawa ya kulevya zichukuliwe pia kwa wanaojichua(punyeto)

Stories of Change - 2022 Competition

Aaron Tebeka

Member
Joined
Aug 1, 2022
Posts
6
Reaction score
6
KAMA ILIVYO KWA MADAWA YA KULEVYA IWE HIVYO HIVYO KWENYE PUNYETO(KUJICHUA)

Suala la kujichua(Kupiga Punyeto) Au bakari nondo kama wengine Wasemavyo,Limekuwa ni tatizo kibwa Sana Ambalo limekiathiri kizazi Cha vijana Wengi na hata watu Wazima.

Suala hili la Kujichua limekuwa likianza kuwaathiri watu kunzia katika umri wa barehe na Kwenda mpaka utu Uzimani Kwa sababu kuacha Kufanya hivi kwa mtu aliyeanza imekuwa ni Kazi ngumu! Ngumu! Ngumu Zaidi.

Katika Kufanya hivi Picha za ngono Zimetumika sana Kuamsha hisia za Mfanyaji kwahiyo Zimekuwa kama Kichocheo Cha Tabia hii hali ambayo inapelekea ugumu wa Kuacha janga hili Kwa mwathirika kuongezeka mara dufu kwa sababu ya kumbukumbu ya Video hizi Chafu.

Madhara ya Mchezo huu yanajilikana Sana na yamekuwa yakielezewa kila kukicha,Ni makubwa Hususani kwa Wanaume lakini ni Jinsi gani ya kuacha hili ni Tatizo ambalo Kila ambaye anafanya Mchezo huu Anajiuliza kila Siku atalitatua Kwa Namna Ipi.

Madhara ya Mchezo wa kujichua(puchu) kwenye kichwa Hayana Tofauti na Madhara ya Kuvuta madawa ya Kulevya,Kuvuta Bangi na Sigara ,Pamoja Na kunywa Pombe.Vyote hivi vinaathiri Sawasawa kabisa Kwa kizidi kiongeza hamu ya Utamu wa kuvifanya!.

Na kwa Sababu,Hii Punyeto inahusisha Mwili basi Changamoto yake katika kuacha ni kubwa Mno,

Kwa hiyo kwa namna Moja ama nyingine tunaweza kisema Punyeto ni Sawa na Mvuta madawa ya kulevya,Na mengine mengi kama haya.Kuna Watu Walianza Mchezo huu Utotoni kwa kichocheo cha Picha za Uchi,Na cha kushangaza mpaka sasa Wana Wapenzi Wao lakini Bado Imewashinda kuacha Kufanya hivi.Hapo ndo Unaanza kuona Ni jinsi gani Puchu ina nguvu sana.

Kabla hata hatujaelekea kwenye lengo la Makala hii,Tulijue hili;

Kwa Asilimia kubwa Sana punyeto(Bakari nondo),ndiyo Chanzo kikubwa cha

1)Mapenzi Ya jinsia Moja(Ushoga)

2)Mapenzi Ya kinyume na Maumbile(Mpalange)

Haya Mambo ni hatari Sana kwa kizazi hiki ,kijacho na Vyote vitakavyokuja na Ndio maana Vizazi vilivyopita,(Sodoma Na Gomora) viliambulia Moto Kutoka kwa Muumba kuonesha ni Jinsi Gani Anachukizwa na Swala hili.Mungu yeye huchukia Mambo yote Yaliyo na Madhara Kwa Mwanadamu hata kama yanafanywa na Wanadamu hao hao.

Hata hivyo,Vijana Wengi Wamekiwa wakiingia Kwenye Mchezo huu katika hatua Ya kibarehe Pale ambapo Mwili huwa na Msisimko Wa kufanya Mapenzi na Mtu wa jinsia tofauti,katika hatua hii Vijana Wengi huanza kuangalia picha Chafu za Ngono na Baadhi yao wanaanza kizitumia hizi kujichua.

Hapa Unagundua kwa Nini Madaktari Na Hata viongozi Wa dini Wanashauri sana Wazazai kuwa makini na karibu na wanao hasa katika kipindi hiki cha kubarehe..

MADAWA YA KULEVYA NA KUJICHUA(BAKARI NONDO).

Kwanini kujichua Kuchukuliwe hatua kama zile zinazochukuliwa kwenye Madawa ya kulevya?

Imekuwa kawaida sana kusikia Watu ambao Wameathiriwa sana na Madawa ya kulevya Wakichukuliwa na kipelekwa mahari ambako kutakuwa na Uangalizi maalumu ili kuhakikisha Wanaacha kuvuta Madawa(,Kama sijakosea ni Sobar House)..

Lakini pia kuna Mijada na kampeni mbalimbali zimekuwa zikifanywa kupinga Madawa ya kulevya kwa vijana katika taasisi mabalimbali za kiserikali kama Shuleni Lengo zima likiwa kupiga Vita uvutaji Wa Unga hii ni kutokana na Athari na Pia madhara ya kuvuta Unga.

Huko mwanzo tulisema Kujichua hakuna tofauti na Madawa ya kulevya ,Utofauti Wake ni kwamba Si rahisi kumfahamu Anayejichua kwa Sababu ni Suala ambalo ni la Aibu na hufanyika vyumbani,Vyooni na Bafuni kwahiyo inabaki siri ya Muhusika na Mungu wake mpaka pale ambako Kitandani Atamshindwa Mpenzi Wake.

Sasa kwa Madhara na Ufanano huu Kunakuwa na Sababu gani ya kutokuanzisha kampeni maalumu au Mpango mkakati Wa kupambana na Tabia hii?

Hapa Watu(Waathirika)Wanatakiwa kusaidiwa kwa sababu kwa Mwathirika kuacha yeye kama yeye ni Ngumu Mno!.Kwahivyo basi kuna umuhimu wa Serikali kuliangalia hili,Wazazi Pia na Madaktari Kwa Macho yao ya Ziada ili kuanzisha njia Yoyote ya kuhakikisha Tabia hii inapungua au inaisha.

Na Ukifuatilia Vijana wengi huwa wanataka kuacha Lakini Wanashindwa na kwa sababu ni suala la aibu wanaishia kuangamia chini kwa chini.Wanajilaumu kila kukicha kwamba kwa nini wanafanya hivyo lakini bado hawaachi.

Pengine Serikali inaweza kuliingiza hili katika Mifumo yake ya Huduma za Jamii yaani mashuleni,na mahosptalini ingekuwa bora zaidi.Na hii yote Inadhamiria kuliondoa hili.

Japokuwa Serikali imejitahidi kuzuia Uangaliaji Wa picha Za ngono kwa kufungia Programu zote za kimitandao zinazoonyesha mambo haya lakini bado sana Kwa sababu vijana Wa hovyo Wamezidi kiluvumbua njia za Kuendelea kufuatilia Mambo haya

Kwahiyo hapa inatakiwa ipatikane njia ya kuwafanya Watu Waache kuangalia Na kufanya mchezo huu wao wenyewe baada ya kujua kwamba una madhara gani kwao na kwa vizazi vijavyo.

Nimalozie kwa Kusema kwamba,Punyeto inashusha hadhi na thamani ya Mtu vivyo hivyo inapunguza kujiamini,Inakufanya ujidharau na kujiona huna thamani.Na kutokana na kupelekea kishindwa kumridhisha mwenza ,hii inasababisha kudharaulika mbele yake na ikumbukwe kwamba hakuna Siri Duniani.

Kwahiyo Chonde Chonde ni Lazima hili suala Liangaliwe,Waathirika wa Punyeto Wasaidiwe kama wale wa Madawa ya kulevya kwa sababu tatizo hili lishakuwa kama magonjwa mengine Sugu.Naamini ikianziahwa mikakati Mwitikio utakua Mkubwa na Wenye Kuleta Mabadiliko.

Mimi ni;

Aron G Tebeka
 
Upvote 6

Hatua zinachukuliwa kwa wanyonge tu, wenye chapaa au koneksheni na vigogo hutakaa usikie kamwe wamechukuliwa hatua za kisheria.

NB:

ZABURI 37:7.

Ukae kimya mbele za BWANA,
Nawe umngojee kwa saburi;
Usimkasirikie yeye afanikiwaye katika njia yake,
Wala mtu afanyaye hila.
 
Ni vema hata watu maskini watazamwe sasa,mimi kwa kiasi kikubwa nalia na hili tatizo la kujichua kwa sababu kuna malalamiko mengi sana ya watu wakidai kuacha imekuwa tatizo labda pengine uwepo usaidizi maalumu ili wapate msaada. Au wewe unaonaje?
 
Asante Kwa taarifa.

Ni kwel hili swala ni changamoto Sana ktk jamii yetu na litaendelea kuwa changamoto kama hatua kadhaa hazijachukulia kama hizo ambazo umeziainisha ktk bandiko lako hapo.....IPO siku tutafanikiwa tu
 
Ni kweli kaka,hapo haina budi kusaidiana kwa sababu kuna watu waliingia kwa mihemuko tu ya ki umri sasa hivi hawajui wataponaje!
 
Back
Top Bottom