Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Shukran kwa muongozo, na huko kuandikishiana kisheria kunaweza kufanyika wapiKupewa kadi original piki piki, pia mwandikishane kisheria wakati wa mauziano itakusaidia kubadilisha kadi jina
Vingine wataongezeaaa wadau
Asante kwa ushauri, na vip Kama nataka kununua kwa hawa watu ambao kazi yao ni kuzinunua kutoka kwa watu wengine na wao kuziuza tena? Vip wanaweza kuwa na nyaraka zote hizo?Usinunue kutoka kwa mtu ambaye jina lake halisomi kwenye kadi esp endapo hana nyaraka za mauziano zilizo halali kisheria.
Kama hawana nyaraka ina maana si wamiliki halali kisheria. Kumbuka hicho ni chombo cha moto, kuna masuala ya historia ya matumizi ya chombo hicho, ukinunua halafu bahati mbaya kikawa kina historia ya uhalifu, kama huna ushahidi wa mmiliki kabla hujawa nacho wewe utakuwa katika wakati mgumu kujitetea.Asante kwa ushauri, na vip Kama nataka kununua kwa hawa watu ambao kazi yao ni kuzinunua kutoka kwa watu wengine na wao kuziuza tena? Vip wanaweza kuwa na nyaraka zote hizo?
Asante sana nipekupata mkuuKama hawana nyaraka ina maana si wamiliki halali kisheria. Kumbuka hicho ni chombo cha moto, kuna masuala ya historia ya matumizi ya chombo hicho, ukinunua halafu bahati mbaya kikawa kina historia ya uhalifu, kama huna ushahidi wa mmiliki kabla hujawa nacho wewe utakuwa katika wakati mgumu kujitetea.
Asante sana, hakika umeeleza vizuri, vip inapatikana wapi mkuuNimenunua na kuuza pkpk used zaidi ya 15 kwa nyakati tofauti.
Kikubwa muone mtendaji wa kata mpe 10 wengine mpaka 20 elfu.
Andikishaneni mbele yake na kubadirisha pesa na nyaraka mbele yake.
Karatasi ya kuandikishana lazima liwe na mihuri wa huyo mtendaji.
Mwisho kabisa, ile kadi lazima namba zilizopo kwenye kadi mfano, injini namba iliyopo kwenye kadi iendane na kwenye injin, plate namba inayosoma kwenye kadi pia isome kwenye kibao cha pkpk (plate no.)
,Na mwisho chases namba viendan.
Hapo hiyo kadi na pkpk vitakua ni halali na kujua kadi si kopi angalia kuna nembo ya kung'aa lazima iwe halisi.
Karibu hata sasa nauza pkpk boxer 125 CHF.
Njoo nikuuzie honda yangu sijui bei utaiweza m2 haishuki zaidi ya hapoAsante sana, hakika umeeleza vizuri, vip inapatikana wapi mkuu
Bei imesimama mno, alaf me nataka boxer au tvs
Kama unataka boda boda boxer na tvs ndo zinafaa hasa tvsBei imesimama mno, alaf me nataka boxer au tvs
Iringa-kihesa.Asante sana, hakika umeeleza vizuri, vip inapatikana wapi mkuu
Ahaa sawaIringa-kihesa.
Uko wap
Hakika naendelea kupata faida, shukran kwa maelezo yaliyonyooka,Habari mkuu, ukishakagua ubora wa chombo na mkakubaliana bei fanya yafuatayo:
1. Omba nakala ya kadi kisha fika TRA watakuambia mmiliki halali wa chombo.
2. Baada ya kujua kuwa anayekuuzia ndiye mmiliki, tafuta wakili akusaidie kuandaa mkataba wa mauziano.
3. Hakikisha wakati wa makabidhiano ya fedha husika kuwepo na mashahidi owapo mtakabidhuana cash na wote wahakiki kiasi ulicholipa.
4. Kama malipo yatafanyika benki basi hakikisha akaunti namba na benki vinatajwa kwenye huo mkataba.
5. Baada ya amuziano hakikisha unawasiliana na TRA ili kubadili umiliki na pikipiki iwe kwa jina lako.
Hiyo namba 1 ni muhimu sana maana watu wanatengeneza sana kadi fake siku hizi hivyo kushindwa kutambua mmiliki halisi kisha ukashikishwa mzigo.
Kila la kheri.
Vikindu hapaUko wap
Mkuu bado unafanya hii biashara ya pikipiki usedNimenunua na kuuza pkpk used zaidi ya 15 kwa nyakati tofauti.
Kikubwa muone mtendaji wa kata mpe 10 wengine mpaka 20 elfu.
Andikishaneni mbele yake na kubadirisha pesa na nyaraka mbele yake.
Karatasi ya kuandikishana lazima liwe na mihuri wa huyo mtendaji.
Mwisho kabisa, ile kadi lazima namba zilizopo kwenye kadi mfano, injini namba iliyopo kwenye kadi iendane na kwenye injin, plate namba inayosoma kwenye kadi pia isome kwenye kibao cha pkpk (plate no.)
,Na mwisho chases namba viendan.
Hapo hiyo kadi na pkpk vitakua ni halali na kujua kadi si kopi angalia kuna nembo ya kung'aa lazima iwe halisi.
Karibu hata sasa nauza pkpk boxer 125 CHF.
Biashara unaendelea nayoBei imesimama mno, alaf me nataka boxer au tvs