jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Kwa sababu ni MsukumaMheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati?
Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati.
Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa na walikuwa wanamheshimu sana.
Sisi hatuhoji mamlaka yako uliyopewa na katiba bali tunataka tufahamu tu huyo mtu alikosea nini ili historia ipate kumhukumu huko mbele km ambavyo wewe usipotutonya makosa yake itakavyokuja kukuhukumu huko mbele.
Kuna kipengele gani cha Katiba kinamshurutisha RAIS aseme ni kwanini ANAMTEUA/KUMTENGUA FULANI?!!!!Mheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati?
Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati.
Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa na walikuwa wanamheshimu sana.
Sisi hatuhoji mamlaka yako uliyopewa na katiba bali tunataka tufahamu tu huyo mtu alikosea nini ili historia ipate kumhukumu huko mbele km ambavyo wewe usipotutonya makosa yake itakavyokuja kukuhukumu huko mbele.
Alafu aliwaondoa kuanzia waziri, Mwenyekiti wa Bodi, na Mkurugenzi wote ni miwatu cv zao zinatisha sio watu wamaneno.Tusimjadili Kalemani,kumjadili yeye nikumuongezea chuki na chama.
Tujadili mifumo yote.
Mfano wa Tanesco kuwaondoa top wote na bodi yake nadhani kipenyo kilienda haraka sana.
Shirika linahitaji ujuzi siyo makundi ya siasa na uchawa.
Jikite kwenye hoja.Kuna kipengele gani cha Katiba kinamshurutisha RAIS aseme ni kwanini ANAMTEUA/KUMTENGUA FULANI?!!!!
Mbona ulikuwa huhoji teuzi na tenguzi zilizofanywa na AWAMU YA 5?!!!
UNAFIKI HAUWASAIDII NINYI WATU
Inafikirisha sana.Alafu aliwaondoa kuanzia waziri, Mwenyekiti wa Bodi, na Mkurugenzi wote ni miwatu cv zao zinatisha sio watu wamaneno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nachojua hapa nchini Tanzania Hatujawahi kuwa na upungufu wa maji yanayosababisha upungifu wa nishati ya Umeme bali tuna upungufu wa viongozi wenye akili za kujua namna sahihi ya ku exploit resources tulizonazo, maccm yanajua kabisa uwezo wao wa kung'amua mambo na kutatua changamoto za kila siku za watanzania umefika mwisho lakini wameng'ang'ania madaraka utafikiri luba.Mheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati?
Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati.
Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa na walikuwa wanamheshimu sana.
Sisi hatuhoji mamlaka yako uliyopewa na katiba bali tunataka tufahamu tu huyo mtu alikosea nini ili historia ipate kumhukumu huko mbele km ambavyo wewe usipotutonya makosa yake itakavyokuja kukuhukumu huko mbele.
Alikubali influence ya wapiga deal kwenye sector ya mafuta wakajipenyeza kupitia mfumo WA kuagiza mafuta Kwa pamoja (Bulk procurement) akaforce wapewe tender 15% kwa kisingizio cha uzawa kumbe jamaa hawana uwezo wakapelekea kuingiza mafuta Kwa garama kubwa mafuta taa na petrol vikapanda bei japo katibu mkuu wake alimzuia asifanye utaratibu huo maana ni kinyume na utaratibu Ila yeye alilazimisha na wala hakum consult mkuu wa nchi.Mheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati?
Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati.
Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa na walikuwa wanamheshimu sana.
Sisi hatuhoji mamlaka yako uliyopewa na katiba bali tunataka tufahamu tu huyo mtu alikosea nini ili historia ipate kumhukumu huko mbele km ambavyo wewe usipotutonya makosa yake itakavyokuja kukuhukumu huko mbele.
Hoja gani ambayo umeshindwa kuijenga kwa kutuwekea KIPENGELE CHA KIKATIBA kinachomtaka Rais kufafanua teuzi na tenguzi zake kwa wananchi ?!!!😳😳🤣Jikite kwenye hoja.
Sidhani kama swali hili litajibiwa...sidhaniMheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati?
Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati.
Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa na walikuwa wanamheshimu sana.
Sisi hatuhoji mamlaka yako uliyopewa na katiba bali tunataka tufahamu tu huyo mtu alikosea nini ili historia ipate kumhukumu huko mbele km ambavyo wewe usipotutonya makosa yake itakavyokuja kukuhukumu huko mbele.
Aya ya mwisho umeielewa?Hoja gani ambayo umeshindwa kuijenga kwa kutuwekea KIPENGELE CHA KIKATIBA kinachomtaka Rais kufafanua teuzi na tenguzi zake kwa wananchi ?!!!😳😳🤣
Alikuwa anachapa kazi mno hii si sawaMheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati?
Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati.
Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa na walikuwa wanamheshimu sana.
Sisi hatuhoji mamlaka yako uliyopewa na katiba bali tunataka tufahamu tu huyo mtu alikosea nini ili historia ipate kumhukumu huko mbele km ambavyo wewe usipotutonya makosa yake itakavyokuja kukuhukumu huko mbele.
Ana makosa 3Mheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati?
Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati.
Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa na walikuwa wanamheshimu sana.
Sisi hatuhoji mamlaka yako uliyopewa na katiba bali tunataka tufahamu tu huyo mtu alikosea nini ili historia ipate kumhukumu huko mbele km ambavyo wewe usipotutonya makosa yake itakavyokuja kukuhukumu huko mbele.
Naunga mkojo hoja yakoAna makosa 3
1. Sukuma gang
2. Mwanaume
3. Hafuniki kichwa