Hatuhoji mamlaka za uteuzi lakini tuambiwe Kalemani alikosea nini pale Nishati?

Kuna ubaya gani kuhoji?
Rais ni mtumishi wetu tu.
 
Atakuwa sukuma gang, hii ni zamu ya msoga gang.....
 
Mmeunganisha nguvu mmehamia JF,Sasa huku ndiyo mtapata majibu?Si muende Ikulu mkamuulize?Gang mnateseka sana,hebu tuacheni tupumzike.
 
Hana majibu,ni upigaji tu ,
 
Kalemani hakuwa na kosa lolote mkuu.
Aliondolewa kwa mpango maalumu ili kuwapisha mafisadi waweze kuidhoofisha TANESCO kama tunavyoona hivi sasa.

Pia ni mpango maalumu wa kuondoa pro JPM kutoka kwenye system ya uendeshaji serikali.
Yote hii ni Msoga project.
 
...wewe tuambie tu wala hatuwezi kukufanya chochote ukizingatia kwanza wengi wetu wana CCM tulisharogeka na kubiringitishiwa tudude fulani twa kichina 😎
Kwa Kalemani alipewa uteuzi kwa kigezo gani ???
 

Nchi inawenyewe mkuu…ukikuta manyoya ya kuku ujue kaliwa…

Matokeo si unayaona lakini mikataba ya gesi inasainiwa..tenda zinatolewa…mitambo inawashwa…generator zinauzwa…pump za maji zitauzwa…eeeeh ili mradi burudani tunachangamsha uchumi mkuu…kila kona kutachemka…
 
Mume wako jiwe wakati anatumbua alikuwa anasema sababu?
 
Ni Sukuma Gang Yulee Mkuu

Mimi pia nis Sukuma Gang

Mzalendo wa Kweli Nchi hii JPM

RIP

Nitaenda kuitembelea Familia ya mkuu huyu

Nawaombea Mungu awape Rehema

Amen
 
"Mama kaona hafai" sorry? Unaishi nae ikulu?
 
Kuna kipengele gani cha Katiba kinamshurutisha RAIS aseme ni kwanini ANAMTEUA/KUMTENGUA FULANI?!!!!

Mbona ulikuwa huhoji teuzi na tenguzi zilizofanywa na AWAMU YA 5?!!!

UNAFIKI HAUWASAIDII NINYI WATU
Tangu lini vilaza wa CCM mkafuata matakwa ya Katiba? Lichama lenu na nchi inaongozwa hovyo tu.
 
Ukitaka kujua kila kitu kinachofanyika ndani ya ccm utaugua ugonjwa wa moyo.

Ingawa nakujua kuwa wewe ni ccm lkn hiyo ndiyo hali halisi.

Umeona mwenyewe alivyo tupiwa virago Kalemani mchapa kazi asiyechoka na wizara kupewa huyo msemaji wa Simba.
 
Tofauti na nafasi za uteuzi za CAG, DPP, na majaji nafasi nyingine zote za wateuliwa sio lazima wakosee ndio waondolewe.
Usiwe mshamba wa siasa za nchi hii.
 
...wewe tuambie tu wala hatuwezi kukufanya chochote ukizingatia kwanza wengi wetu wana CCM tulisharogeka na kubiringitishiwa tudude fulani twa kichina [emoji41]
Kudadeeeki naona kwa sasa tumeanza kuongea lugha moja tu ya maumivu.
 
Kwani ajira ni nini basi kama uwaziri siyo ajira?
 
Tusimjadili Kalemani,kumjadili yeye nikumuongezea chuki na chama.
Tujadili mifumo yote.
Mfano wa Tanesco kuwaondoa top wote na bodi yake nadhani kipenyo kilienda haraka sana.
Shirika linahitaji ujuzi siyo makundi ya siasa na uchawa.
Kuzungumzia kuondolewa bodi ya Tanesco lazima tumzungumzie Kalemani na Makamba.
 
Sio wananchi sema wewe ndio haujaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…