Hatuitambui serikali ya waasi-KENYA

Hatuitambui serikali ya waasi-KENYA

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
9,728
Reaction score
1,204
Serikali ya kenya imesema hailitambui baraza la taifa la libya NTC,imesema itaitambua serikali hiyo endapo itaundwa serikali ya mpito ambayo ni serikali ya umoja wa kitaifa<br />
My take:hii ina maana kwa kwenya ni marufuku kupeperusha bendera ya waasi????<br />
Sosi,VOISI OF AMERIKA
 
baraza la taifa la mpito NTC of coz ni msimamamo AU wameazimia hivyo. wacha tuwaone wanavyoshindana na NATO
 
Back
Top Bottom