Hatujachelewa kwenye sensa kuwepo na kipengele cha uhitaji wa katiba mpya .

Hatujachelewa kwenye sensa kuwepo na kipengele cha uhitaji wa katiba mpya .

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Sensa ni data
Kama ni data kuna uhitaji wa kuwepo kipengele cha kupata mawazo ya wananchi kuhusu katiba mpya na mgombea huru wa uchaguzi wa uraisi .
Siasa zimezidi sana Raisi,wakurugenzi,wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya ....kila mahali...siasa.
au siyo ndungu zangu.
 
Hapo ni kugusa maslahi ya salama asali. Hao wanaotusokomeza tozo hadi za bando.

Katiba muafaka haitapatikana bila sisi tunaoihitaji kudhamiria na kuipigania kwa gharama yoyote.
 
Najua watawala hawawezi kuweka hicho kipengele,,, ila wazo Lako ni zuri mno.
 
Back
Top Bottom