Kwa huyu hamna kituNdugu zangu watanzania.
Nipende tu kuwakumbusha kwamba hali ya kisiasa kwa sasa sio nzuri.Kwa wanasiasa watafikiri ni kwa sababu ya uchaguzi,lakin ukiangalia kwa jicho la tatu uchaguzi sio hoja sana.
Kuna haja ya kukaa kama Taifa na kuiangalia vizuri katiba yetu na kuirekebisha kwa sasa kabla hatujagawanyika sana bila kujali vyama vyetu na maslahi ya Taifa.
Tukaeni turekebishe mambo tukiwa wamoja;tusisubiri mabaya zaidi.
Asali tamu ww, ccm wanawaza kura tuNdugu zangu watanzania.
Nipende tu kuwakumbusha kwamba hali ya kisiasa kwa sasa sio nzuri.Kwa wanasiasa watafikiri ni kwa sababu ya uchaguzi,lakin ukiangalia kwa jicho la tatu uchaguzi sio hoja sana.
Kuna haja ya kukaa kama Taifa na kuiangalia vizuri katiba yetu na kuirekebisha kwa sasa kabla hatujagawanyika sana bila kujali vyama vyetu na maslahi ya Taifa.
Tukaeni turekebishe mambo tukiwa wamoja;tusisubiri mabaya zaidi.
hakuna haja ya upotoshaji gentleman.Ndugu zangu watanzania.
Nipende tu kuwakumbusha kwamba hali ya kisiasa kwa sasa sio nzuri.Kwa wanasiasa watafikiri ni kwa sababu ya uchaguzi,lakin ukiangalia kwa jicho la tatu uchaguzi sio hoja sana.
Kuna haja ya kukaa kama Taifa na kuiangalia vizuri katiba yetu na kuirekebisha kwa sasa kabla hatujagawanyika sana bila kujali vyama vyetu na maslahi ya Taifa.
Tukaeni turekebishe mambo tukiwa wamoja;tusisubiri mabaya zaidi.
umeongea vyema kwani nchi yetu sote hii na haina hati miliki ya kundi loloteNdugu zangu watanzania.
Nipende tu kuwakumbusha kwamba hali ya kisiasa kwa sasa sio nzuri. Kwa wanasiasa watafikiri ni kwa sababu ya uchaguzi, lakini ukiangalia kwa jicho la tatu uchaguzi sio hoja sana.
Kuna haja ya kukaa kama Taifa na kuiangalia vizuri katiba yetu na kuirekebisha kwa sasa kabla hatujagawanyika sana bila kujali vyama vyetu na maslahi ya Taifa.
Tukaeni turekebishe mambo tukiwa wamoja;tusisubiri mabaya zaidi.
Gentleman ikiwa hali ni shwari kama unavyosema hakuna sababu ya kutumia nguvu kwa wapinzani.hakuna haja ya upotoshaji gentleman.
Kama Taifa, hali ya kisiasa ni nzuri sana na inayositawi na kushamiri kila uchwao hasa kipindi hiki Taifa linapoelekea kwenye uchaguzi wa kihistoria October mwaka huu 2025.
vibaka na matapeli wa kisiasa waropokaji nchini, kamwe hawawezi kuzuia uchaguzi wala kuyumbisha umoja, amani na mshikamano miongoni mwa waTanzania.
Hakuna haja ya kutafuta kiki kipotoshaji gentleman π
hakuna mahali nchini nguvu inatumika dhidi ya upinzani dhaifu sana na ulipoteza uelekeo nchini.Gentleman ikiwa hali ni shwari kama unavyosema hakuna sababu ya kutumia nguvu kwa wapinzani.