Wewe unaejiita mamaD hujaelewa ombi langu,hv mtu ambaye hakupendi anaweza kutaka kuingiza white people wangu?hakutaki huyo! we mtu gani usoelewa?
-sasa elia hujui kwamba kuoana kunahitaji kujipanga?
-sasa elia hujui kwamba kuoana kunahitaji kujipanga?[/QUOTE]
Miaka takribani mitatu wanajipanga?
mmh huyo ni doormate tu au you plan to make committment because sex nowadayz is easily available which cause true love hard to find .unajua wasichani mentality ya ujinga ni kufikiri kusex na mtu wako ndo upendo. men can sleep with 1000 women and love none of them .mpigie chini kwanza anajirahisi hivyo wewe huogopi kuambukizwa fangaz[/QUOTE
Huyo analala na wanawake 1000 ni malaya tu wakiume..na wala sio sifa
andaa hela ya pampers/nepi na laki tatu za shule ya vidudu.
Hi' wadau!
Nina mpz ambaye ana umri wa miaka 22 kabila lake ni mngoni.
Ni miaka mitatu toka tumejuana nae ila toka mwezi wa kwanza mwaka huu ameniambia kama siwezi kupiga gemu kavu kavu basi yupo tayari kuachana nae,na mimi bado nampenda hivyo nisaidieni na mimi richa kupima mara kwa mara naogopa sana kuteleza,kwenda bila hizo kinga.
Nifanyeje wadau?