Pre GE2025 Hatujawahi Kuwa na Uchaguzi wa aina ya huu wa 2025 tangu Taifa letu liasisiwe, huenda tutashuhudia magumu kuliko Haya!

Pre GE2025 Hatujawahi Kuwa na Uchaguzi wa aina ya huu wa 2025 tangu Taifa letu liasisiwe, huenda tutashuhudia magumu kuliko Haya!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Jinsi ulivyo Uchaguzi mkuu wa 2025 ni Mpya na wa aina yake

Katika Mazingira kama Haya lazima waibuke Fisi wanaotamani madaraka kabla ya majira yao

Tuzidi kuliombea taifa letu

Tunayoyashuhudia Sasa ni Mwanzo tu wa mengi yatakayojitokeza Siasani

Ahsanteni sana 🐼
 
Inawezekana yakahamia huko huko kama huku watakuwa wameisha wanaotakiwa na tukabaki makondoo tuu. Kuna uwezekano mkubwa saana kuwa hata huko nako siyo salama kabisa.
 
Back
Top Bottom