Hatukubalia na Yanga kumsajili Ajibu. Mashabiki tutafanya Mmamuzi Magumu

Hatukubalia na Yanga kumsajili Ajibu. Mashabiki tutafanya Mmamuzi Magumu

abdulhamis

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
1,436
Reaction score
2,296
Hii iwafikie uongozi wa Yanga ya kua Sisi Mashabiki Hatukubalian na wao kwa kumpa Mkataba Ajibu sabab ni Mchezaji ambae Alitudharau Sana Mpaka kufikia kiwango cha yeye kugomea mechi na kusema anaumwa uku baadae akionekana anacheza cha ndim

Yote ayo aliyafanya ili tu aondoke yanga likiwemo na lile la kuto kujituma ili tu uongoz uachane nae so Leo Nini kinamsukuma yeye kutaka Kuja yanga

Huwezi kujua Kuja kwake yeye Yanga Kuna mipango ipi sababu ni wazi Ajibu ni mshabik wa Simba
 
Muda wa maneno umeisha kiongozi!
Msimu ujao kimataifa:
Yanga wakizubaa biashara itakua ile ile ya miaka iliyopita.
 
... Huwezi kujua Kuja kwake yeye Yanga Kuna mipango ipi sababu ni wazi Ajibu ni mshabik wa simba
Mimi mnazi wa Simba, ila nasema Yanga mtakuwa wajinga kuacha kumsajili mtu atakayewasaidia katika kikosi chenu, maana anao uzoefu wa kimataifa. Kumbuka huyu ametoka timu kubwa sana hapa barani africa (Simba SC), na kiwango chake kinamuingiza moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza cha Yanga, maana hakuna kiungo mshambuliaji pale Yanga anayemfikia Ajibu. mpeni mkataba, msiangalie eti sijui anaipenda Simba, hayo mambo ya unazi pembeni, akisainishwa atacheza kazi kazi
 
Sio Ajib tu hata Gadiel nae anaweza kuwasaidia Yanga kufika Group stage.
 
Tulieni dawa iwaingie, ipo siku mtamkataa injinia na kusema kua ni shabiki wa Simba
 
Back
Top Bottom