abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
Mimi mnazi wa Simba, ila nasema Yanga mtakuwa wajinga kuacha kumsajili mtu atakayewasaidia katika kikosi chenu, maana anao uzoefu wa kimataifa. Kumbuka huyu ametoka timu kubwa sana hapa barani africa (Simba SC), na kiwango chake kinamuingiza moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza cha Yanga, maana hakuna kiungo mshambuliaji pale Yanga anayemfikia Ajibu. mpeni mkataba, msiangalie eti sijui anaipenda Simba, hayo mambo ya unazi pembeni, akisainishwa atacheza kazi kazi... Huwezi kujua Kuja kwake yeye Yanga Kuna mipango ipi sababu ni wazi Ajibu ni mshabik wa simba