bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,699
- 4,117
-Habari ya sasahivi wana Jf na watanzania.Poleni na hongereni kwa kazi za kujenga taifa. Ni matumaini yangu wengi wetu kama siyo wachache mmesikia kuhusu kufukuzwa chuo kwa wanachuo takribani 51.
$iyo siri imebaki gumzo la masikitiko na huzuni kwetu kama wanachuo.Toka asubuhi kila kona ya UD ilijaa stori za hapa na pale watu wakizunguamzia maamuzi ya kidikteta yaliyofanywa na hawa viongozi.
Ndugu wanaJf na watanzania wenzangu, napenda kuwapa ukweli halisi wa jambo hili na kwanini maamuzi haya yatokee? Ikizingatia kuwa toka ishu inaanza nlikuwa nikiripoti japo kwa sehem ya kile kilichoendelea.
Ni wiki ya pili sasa toka minong'ono ya kuwepo kwa mgomo hapa Udsm.
Hoja za msingi zilikuwa:
1> kucheleweshwa kwa boom.
2> kushinikiza kurudishwa kwa wenzetu walokamatwa siku ya maandamano.
Utata katika hili ulikuwa hivi siyo wote waliokamatwa warihusika kwanamna moja ama nyingine
KIUKWELI MAAMUZI HAYA YAMESABABISHA NIDHAM YA WOGA kwa wanauD,wanaudsm topepoteza haki yetu kuwatetea wenzetu,
kiukweli kila mtu anaogopa hata kuongelea swala hilo kw a kuhofia kuongezwa kwenye orodha.
SWALI:
1> TUTABAKI NA MATATIZO YETU MIOYONI MWETU KWAKUHOFIA KUFUKUZWA MPAKA LINI?!
-Ni hayo tu wanajf na watanzania wenzangu naomba mjue huu ni udikteta wa hali ya juu.
Nimeripotia hall 5 rum no,,
mimi bampami wa jfff.