hapo ndio huwa nakuloveee wakwetu kumbe umeonaeee.....na kuna mtu namhisi anatutwist ngoja niendelee na uchunguzi zaidi
bwabwa alisema yeye ni mwanume rijali ila tu hilo jina alipewa utotoni kwa kuwa alipenda sana kula ubwbwa
yaani hata kama umepikwa kwa jirani basi anahamia huko.......
huyu mama huwa anauliza kitu wakati jibu analo,we BWABWA ndo una matatizo,ukitoka kupakuliwa ukirudi homu unaishia kumjambia mwenzio usiku kucha kashachoka na mashuzi huyo eeh.ni swali zuri....yaani anaweza kuniambia anasikia joto tukilala pamoja, au usiku mimi eti najamba jamba wakati sijambi na sio kweli
mbona kuna mabandiko yake mengi akikiri kuwa yeye ni shosti?
Bwabwa akimsapoti aBUNUWASI....Absolutely right!! hata mimi nashangaa....
Hivi mna uhakika gani kama bwabwa ni bwabwa kweli????
Au kwa sababu ya jina analotumia???? kama ni hivyo what's in a name????
Katika kipindi cha ujana pale ilala kulikuwa na kijana mmoja [wa kiume] alikuwa anapenda kufaa shanga za kiunoni na wengi tulifikiri jamaa alikuwa siriziki lakini alikuwa anawapanga kweli maana kila msichana aliyekutana naye alihadithia wenzake na hao nao out of curiosity wakawa wanaingia line vibaya sana na alikuwa anawaumiza vibaya sana.
ni swali zuri....yaani anaweza kuniambia anasikia joto tukilala pamoja, au usiku mimi eti najamba jamba wakati sijambi na sio kweli
Ni miezi sita sasa huyu mpenzi wangu tangu aanze hii tabia ya ajabu, kama yuko chumbani nikitaka kulala anahamia chumba kingine, nikimfata huko anakwenda kulala sebuleni, sina raha, sina wa kuongea nae,mpaka nimvizie kalala fofofo ndio nijisogeze nilale pembeni yake na akishtuka tu anahama kwingine,nikumuuuliza sababu zinakuwa nyingi lakini hazina msingi, kama mnavyojua raha ya kulala sharti usikie mapigo ya moyo ya mpenzi wako. Wana JF nawaombeni mnipe ushauri wa kina nini cha kufanya ili niondokane na hili balaa?
Unatuchanganya hapa BWABWA, kwani BWABWA ana kuwa na mpenzi wa kiume au wa KIKE?
heeeeeh.Wow, that confirm the speculations... BHT, have you heard?
Whenever you find someone acting on the extreme side know that he is compensating for something on the other side. Some adults strive for attention and pay any price just to get it.
Those attention seeking adults may do inappropriate things like lying just to get the attention.
Not all attention seekers are doing so because of a personal disorder but if the person started to sacrifice some of his values for the sake of attention, then its probably the result of an under laying disorder.
1. Acha kabisa kufanya mambo asiyoyatakani miezi sita sasa huyu mpenzi wangu tangu aanze hii tabia ya ajabu, kama yuko chumbani nikitaka kulala anahamia chumba kingine, nikimfata huko anakwenda kulala sebuleni, sina raha, sina wa kuongea nae,mpaka nimvizie kalala fofofo ndio nijisogeze nilale pembeni yake na akishtuka tu anahama kwingine,nikumuuuliza sababu zinakuwa nyingi lakini hazina msingi, kama mnavyojua raha ya kulala sharti usikie mapigo ya moyo ya mpenzi wako. Wana jf nawaombeni mnipe ushauri wa kina nini cha kufanya ili niondokane na hili balaa?
Sasa unashangaa nini na wakati wewe ni bwabwa,ngoja akutane na vidume uone kama atakimbia,kama hajakimbilia!!binti wa pangani