Hatuna bahati, tumekufa kiume, tumejitahidi

Hatuna bahati, tumekufa kiume, tumejitahidi

mahindi hayaoti mjini

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
2,120
Reaction score
2,709
Siku tukikubali kuachana na upuuzi huu na kuamua kucheza mpira kisayansi bila shaka tutafika zaidi ya tulipofika

Vinginevyo tutasonga hatua moja mbele na kurudi tatu nyuma
 
Sauti IPO sawa
IMG_20230429_070414.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku tukikubali kuachana na upuuzi huu na kuamua kucheza mpira kisayansi bila shaka tutafika zaidi ya tulipofika

Vinginevyo tutasonga hatua moja mbele na kurudi tatu nyuma
Mtaendelea kufa kiume mpaka kiama na wenzenu watatoka nyuma na watawapita kimafanikio
 
Back
Top Bottom