mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Wydad atakae tolewa na Mamelod?? LolHuyu waydad abebe ndoo na yanga abebe kule sasa ndio tujue nani ni nani
Kwani nani alitegemea simba atafungwa moja tu na waydadad kule comoro?Wydad atakae tolewa na Mamelod?? Lol
Ushaanza uchawi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wydad atakae tolewa na Mamelod?? Lol
Comoro ?Kwani nani alitegemea simba atafungwa moja tu na waydadad kule comoro?
Huo sio uchawi ila katika timu dhaifu ni pamoja na hao wydadUshaanza uchawi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Ndiyo UkweliTUNAJIANDAA NA SUPER CUP
Huo sio uchawi ila katika timu dhaifu ni pamoja na hao wydad
Wydad akifika fainali nitaamini duniani uchawi upo Morroco.Huyu waydad abebe ndoo na yanga abebe kule sasa ndio tujue nani ni nani
Mtaendelea kufa kiume mpaka kiama na wenzenu watatoka nyuma na watawapita kimafanikioSiku tukikubali kuachana na upuuzi huu na kuamua kucheza mpira kisayansi bila shaka tutafika zaidi ya tulipofika
Vinginevyo tutasonga hatua moja mbele na kurudi tatu nyuma
Kwahiyo wametuzidi kidogo tu uchawi baada ya simba kuonyesha maajabu pale morocco?Wydad akifika fainali nitaamini duniani uchawi upo Morroco.
Sahihi kabisa, yaani tuache hizi sababu tatuKifo ni kifo tu. Hakuna kifo cha kiume, wala cha kike.
Hakika, ndio tuachane na huo mtindo sasa, twende kisayansi zaidiMtaendelea kufa kiume mpaka kiama na wenzenu watatoka nyuma na watawapita kimafanikio