Hatuna Forensic Science digrii/diploma Tz?

Ndiyo swali hilo? Tatizo mwisho tukishawapata wataalamu kadhaa mwisho wataanza kunata. I don't know; labda tutahitaji kusubiri wimbi kubwa la uhalifu wa kisasa ndio tutaona ulazima wa kuwa na wataalamu wa kutosha wa fani hii.
[/SIZE][/FONT]

Huo uhalifu wa kisasa ni upi? Lini umemuona kachero wa kitanzania akichukua fingerprint kwenye eneo la tukio? Leo mnazungumzia DNA. Mpaka leo tunapima umeme kwa kulamba, photocopiya inakaa kwa bosi halafu mnataka kutuletea huu upuuzi. Mnafanya mashara, nini?

Amandla.........
 


mmh.. nadhani umenisoma vibaya (sehemu ya kwanza haikutakiwa kuwa swali). Halafu kuzungumzia mambo haya ni kuleta upuuzi. Well.
 
Mimi nimemwelewa Fundi....alikuwa yuko sarcastic....ni kama vile watu wasivyonielewa mimi na falsafa yangu!
 
I don't know why you brought it back at such a time like this bro...
**too much to tell**
Nyc dream though, hope we'll live to see it materialize.
 

Forensics science ni pana sana. Inategemea muhisika alitaka nini?

Mzee mwanakijiji badale ya kupambana na wanaokupinga inabidi kwanza uwaeleshe nini unakisema. Tanzania haitaki kujiandaa kwa ajili ya uhalifu wa kimataifa na wa sayansi inayokuwa siku hadi siku.
 
I don't know why I'm bringing this topic back.. just for the sake of it, I guess.

Mhh....na wewe ndugu yangu una visa! na bado visa vitaongezeka. Watanza kukwambia hatuna kitengo kinachohusaiana na Ushushu wa kiuchumi pamoja na kuimba Diplomasia ya Uchumi......

Ukiwa na Advance Diploma ya Forensic science unaweza ukakosa kazi kabisa.Tanzania,tunakuwa kama vile tunaishi kwenye kisiwa.infact,chuo cha Diplomasia Kurasini walitakiwa wawe na hicho kitengo ikiwa watatoa shahada za uzamili,vyuo vingine vinazo hizi department na ni compulsory na hata pengine walistahili kushirikiana na Muhimbili au hiki chuo kipya cha kijeshi kinatakiwa kiwe nayo lakini hata syllabus zao nimeziona so far,bado ni syllabus ambazo hazikidhi maswala ya kijeshi ya kisasa na intelligensia inayoendana na wimbi la uhalifu wa kisasa katika uchumi,siasa na jinai.Infact hiki chuo kipya kinastahili kuwa na idara nyingi nyeti tujikite katika strategies,paramillitary deployment ni matokeo ya strategic planning lakini ukiangalia syllabus yao kwa kweli bado tuna masihara sana kwenye maswala ya usalama

BTW: Hebu mkuu nitafutie chuo nikamalizie project yangu ya Defence and strategic studies,criminology and adhoc intelligence
 

Mkuu uko sawa kabisa. Forensic Science ni suala mtambuka. Hao wanaosoma MUHAS hawapewi diploma ama degree ya forensic Science kwa hiyo ni bora ikawepo Diplama ama Degree ya forensics. Ukisema inafundishwa MUHAS wakati kuna forensic Auditing, Forensic accounting, Forensic Medicine, Computer forensics, nk. kwa hiyo MUHAS wataelewa tu medicine forensics na siyo hizo zingine!!
 


Forensic science is one of the fields of which even if a person is an expert ... it is a wasted talent... in Tanzania... i believe we have many fields needed to improve rather than devulging into Forensic Science and all it's related fields... at the moment as a result of the reality of the facts of our country... And in most cases it is applicable in issues already done with... Yes very important in law... but the fact still remains... Complicated.

The most applicable areas of the field in Tanzania at the moment is in the Field of Archaelogy.... One of the best Colleges in Forensic Science related field is that of Archaeology found at the University of Dar-es- Salam (Department of Archaeology/History and Archaeology)... BUT Unfortunately although Tanzania via Olduvai Goerge has provided the only evidence (Zinjanthropus) of the oldest man on earth note that all those experiments were done by Outside brains (Mr & Mrs Leaky)... outside the country of findings.... as a result of lack of the field...

Oh we are too poor to afford such a modern necessity in law enforcement?

Yes IMO we are too poor to afford such a modern necessity in law enforcement....
 
wewe ndio bado hujui forensic science ni kitu gani,muhas wanasoma a ver smal part of it,hapa Africa B.sc forensic ni south africa ndio wanatoa,police kuna forensic department lakini sijui hata wanafanya kazi gani zaidi ya photograph na fingerprints devlpment,hakuna scientific investgtn hata kdg,kuhusu mkemia mkuu au pathologists kufanya kaz hzo,hii haijakaa vzur coz hawana ufahamu wa criminalistic na criminal laws na ina allow breach of evidence coz ni idara mbili tofauti,inabidi police waimalishe kitengo cha forensic kwa kupeleka watu nje kusoma msc forensic n bsc forensic,udsm kuna b.sc chemistry lakn bado haiko specific wanasoma coz kadhaa tu za forensic chemistry,mm naijua vzur hii field thats why i said that,we dnt have that thng in our country!
 
Mada nzuri la mod nadhani ungeipeleka kwenye jukwaa la hoja mchanganyiko
 

Mkuu hata social science pia kuna forensics. Kuna Forensic Accounting, Forensic Auditing na computer forensics. Hizi ni muhimu sana katika kushughulikia frauds.
 

hapo bolded huko sahihi sana, natena ukiwa unamesomea hayo mambo nje unaweza ukabatizwa ushushu wakotaka nje yani kama umesomma marekani utaambiwa umetumwa na CIA na kama uingereza utakuwa umetumwa na MI6.

hila watu wanatakiwa waelewe kwamba tanzania sio kisiwa kabisa kuna mambo hatutaweza kuyakwepa wala kuzuia kujaribu kuzuia ni kama kujaribu kuzui kimbunga na mikono, hatari kweli kweli
 


Na sasa Criminology na peanology hasa ndiyo inayowahusu hawa wanaojiita big fish,untouchable suspects(criminals).Kwenye syllabus ambazo nimeziona hakuna penitentiary science.bado tunataka kujiita tunajenga modern millitary academy.

Kuna chuo kizuri India kinaitwa Annamalai kinafundisha forensic Science kwa ada nafuu sana kwa nchi zinazoendelea.
 

Hapo kwenye Red inagharimu kweli kweli,nakushauri hata ukiisoma mkuu USIENDE BOT(BENKI KUU YA TANZANIA).Wanajua wenyewe,sijui ni kwanini ni waoga hivyo.

Hao wana tatizo,Mirror-Imaging .Kuna theory moja inaitwa cognitive Trap ya mwanainteligensia aliyebobea anaitwa Heur.He said - one must understand [the foreign leaders'] values and assumptions and even their misperceptions and misunderstandings. ... Too frequently, foreign behavior appears "irrational" or "not in their own best interest.

Kwa wale wanaotafuta vyuo kwa level ya Diploma au kuandaa mazingira ya Ph.D in governance, ukipata vyuo vizuri kama Mercyhurst College Institute for Intelligence Studies (MCIIS). Hiki kiko Pennyslevania,US na Brunel UK ni vyuo vizuri sana
 

mkuu Ben

mimi nadhani tunahitaji independent and private prosecutors kwenye mfumo wetu wa mashitaka katika mahakama

nakumbuka kesi ya marehemu Robert Ouko wa kenya kulikuwa na hired private investigator kutoka UK, Scotland yard bwana Troon valiyefanya upelelezi wa kina na kugundua chanzo cha kifo ambacho bwana Nicholous Biwot alihusishwa . kilichofunika jitihada hizo ni kukosekana kwa private/independent prosecutor hivyo public prosecutor ( state prosecutor) conspired to pervert the ends of justice, wakaipotosha ripoti ya Troon
 

Syllabus lazima zitafutwe sehemu zilizo fanikiwa kupunguza uhalifu kwa science husika. Kuna vyuo vingi ila vingine viko kwenye mazingira ambayo elimu yenyewe inaweza kukosa uhalisia. Hatuwezi kutafuta unafuu tu bali lazima tuzingatie viwango na products. Sipingi wazo ila nina wasiwasi na unafuu. Njia muhimu ni kupeleka wataalamu kwenye vyuo bora duniani hususani vile vilitoa ushindani mzuri kwenye real life. halafu waje wafundishe wengi nyumbani.

Vilele iwe ni changamoto kwa vyuo binafsi kufundisha na kufungua faculty kama hizo. Serikali yetu imelala usingizi. Kama tumemshindwa Rostam tutaweza chuo???????
 

Maendeleo yataleta mengi. Ila bila watawala kuwa wahanga wa maisha ya kila siku hawawezi kuona hayo ni muhimu. wanaweza kuleta mizengwe kutoa leseni au kukubali ushahidi hasa wa wapelelezi binafsi. Ila siku ikifika kila mmoja akawajibika kwa sheria na sheria zikiwa ni za wote sio wasio watawala tutafika huko. Kusanyeni elimu zitatumika tu siku moja.
 
Sula la Independent prosecutors hilo litawaletea watawala mawenge...Kuna haja ya kulivalia njuga hili suala ili liwe na special constitutional Provision kama ilivyo Ghana na South Africa(Hawa Pengine rekodi yao ya Uhalifu ndiyo ilyowasukuma zaidi kwa hili)

Pia Tatizo ni kwamba bado Tanzania na hii serikali iliyoshindwa haioni umuhimu wa ku-breed experts within our borders.Hatuna Medium and Long term investment in Intellectualism,professionalism e.t.c. Reverend Kishoka alisema mambo yetu na maamuzi yetu ni kwa ajili ya matokeo kama ya matumizi ya viagra tu,zimamamoto(Quick fixing). Ni Taifa pengee linalobembea kwenye dharura miaka 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…